Home
Unlabelled
mnadani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ee bwana hapo order zake zimeshamaliza huyo mbuzi na mwingine anachinjwa, natamani nipasue kioo nipate zile mbavu, yule ndio mbuzi siyo milam ya huku ambayo hata radha hakuna.
ReplyDeleteEeeh michuzi wee ndugu yangu mbona watufanyia vurugu wenzio, maana nilipoona hii picha nikatamani hata kulia kwa kumbuka utamu wa nyama za home yaani freshness siyo huku tulipo tunakula manyama hayana hat taste kwa kudungwa midawa, na kukaa kwenye fridgeB
ReplyDeleteyaani balaa tupu .
wenzangu hapo juu nawasapoti kabisa maana mie nimekumbuka mdanani acheni tu. Yaani ikifika jumamosi usipoenda mnadani unaksoa raha kabisa japo kanyama ka sh 200 kanatosha. Huku tulipo huoni radha kabisa bbq hainogi kabisa unakual basi tu ila home meat ni the best .Nimekumbuka sana home kwa picha hizi za Dodoma mweeee!!!
ReplyDeleteNaona wanablogu wengi wamesifia hizo nyama ila mimi naona inaandaliwa kwenye mazingira ya uchafu sana , Nyama inaandaliwa juu bati na hakuna kitu chochote cha kuzuia nyama hiyo isipigwe na vumbi la dodoma !
ReplyDeleteNi jambo la kushangaza wabunge ambao tunategemea wawe na awareness kubwa kwenye masuala ya afya wanakula sehemu chafu kama hii !
We Anon 8:19:30 unajifanya msafi kisa uko ulaya,mbona hatusikii watu wamekufa kwa ajili ya sehemu nyama ilipoandaliwa?kama ni hivyo basi wamasai wote wangeshakufa.Mkishafika ulaya basi mnaua home...
ReplyDelete