mh. vita rashidi mfaume kawawa (kulia) akisalimiana na waziri wa usalama wa raia harith bakari mwapachu huku mh. john shibuda akitega sikio bungeni dom leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2006

    michuzi, nafikiri ni muda mzuri kurudi kwenye ile topic ya omary kimbau............nafikiri wale tulioshiriki ule mjadala tunaweza kukumbuka kuhusu baba na mwana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2006

    naona sasa kabakia kinje tu kuingia bungeni maskini kama ulikimbia umande ndio hivyooo tena angalau hata kadiploma digiriii bunge ungeliona maana ni kwa mwendo wa kupeana hivyo vye na kula kwenda mbele...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2006

    watanzania tuna silika mbaya ya kudharau watu kwasababu awana degree,mtu kama kinje atua aliyopiga kimaendekeo ni kubwa,ni maprofessor wangapi tumeona wanakimbilia jembe nalinawashinda,wacha watanzania wengi walioko U.K na master zao bado wanaosha sahani na kubeba mabox, kinje akitaka ubunge anaweza

    ReplyDelete
  4. Nani anasema uchifu bongo uliisha watoto wa Nyerere, Kawawa, Malecela,Mwinyi,Karume nk wote wamepewa uongozi kwa sababu ya title za baba zao, kwahiyo hata watoto wa Kingunge wanaweza kupata lakini huyu Kinje sidhani labda yule anayeitwa Mpilingondo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 29, 2006

    Hao watoto wa vigogo mnaowasema sio kwamba wanapendelewa,mfano kinje anauwezo wa kuwa wavivu kama nyie au hata kwenda zake ughaibuni kuishi lakini yuko haphapa nchini na anafanya miradi mbalimbali,hao waliokuwa kwenye siasa mfano huyu Vita Kawawa ubunge kagombea na kampeni kajipigia,mtoto wa mwinyi pia hivyo hivyo,Marehemu Ipi vilevile alikuwa mstari wa mbele ,nyiekaeni na uvivu wenu na kuanza kulalamikia watoto wa vigogo,mtakufa maskini tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 29, 2006

    wakishughulisha tabu wakikienda ughaibuni balaa, wakizunguka mitaani ndio mama weee sasa hebu waambieni wenzenu wafanye nini ili muone ndio wanafanya kitu bila... hebu wapeni nafasi wapumue kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...