huu ni mwaka 1994 na pahala ni hoteli ya kilimanjaro na tukio ni kukava hotuba ya mwalimu. toka shoto ni mbaga (sasa tvt), mpochi (gadian), mie (bloga), moshy kiyungi (nipashe), herman (nasikia sasa mtanzania), dihule (mtanzania, rai na dimba) na mwangasa (itv)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2006

    Mwanangu umeprogess, ndio maisha yanavyotaka endelea kukaza uzibaba,
    kwani kila siku juhudi na kijituma huwa kunajibu

    ReplyDelete
  2. michu aise naomba tafadhali kama unayo contact ya mpochi unipe yoooo michu usilaze damu tafadhali nina shida naye kichizi.
    du shukran kwa picha hii duu jamaa namtafuta kwa hali na mali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...