si nyama choma pekee inayopatikana mnada mpya wa kizota dom...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. bongo kweli kiboko, lilekule nyuma ni turubai la UNHCR maalum kwa ajili ya wakimbizi, lakini yameshauzwa mitaani na wabongo kama kawa tunatumia bila kuona aibu, Wabunge nao wakija hapo wanajifanya hawaoni kwa sababu hata wao unaweza kukuta wananyo kama mawili hivi nyumbani kwa ajili ya matumizi binafsi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2006

    kaka michuzi mie naomba kuchukua nafasi hii kumtambulisha aliyesimama mbele yetu kwenye hii picha,anaitwa bwana CHUGO maarufu kama anavyojulikana. sijui alikuwa anafanya nini hapo ila niliwahi muona kwenye michezo ya tv na marehemu mzee jongo na wakina kipara na yule jaluo enzi zile kwenye itv.hongera baba kama umekuwa machinga...........

    ReplyDelete
  3. Huyu CHUGo sio Machinga, alikuwa DODOMA kikazi, yeye ni mtumishi wa Serikali kwa sasa amesharejea Dar es Salaam. Bado anaendelea na fani yake ya usanii, kwa sasa amejikita zaidi katika utunzi wa mashairi na kuyagh'ani mwenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...