niko na mmiliki wa bendi ya sakis stars mama salome kiwaya dodoma hotel jana. kumbe si dada asha baraka was twanga pepetaa pekee anaemiliki bendi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2006

    michuzi umenifurahisha kweli kutoa yale maoni yote yalio kuwa hapa wakati hayahusiani kabisa na picha na hayana msaada kwetu..

    Hongeara kwa mama salome kiwaya kwani uwekezaji ni muhimu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2006

    hapana kumpongeza ni kutaka awe mthibiti wa maoni kama serikali,unless kama anatueleza kuwa anapata matatizo kutokana na maoni yetu, cha maana bwana Michuzi ujue unapotoa post yako ni kwamba unaiuza kwa wadau, siungi mkono matusi lakini nakataa pale inapoonekana unataka kufanya kama ya Miroki kutaka watu wawe positive katika kuwasifia wale waliopo ktk picha, haufiki mbali.Any way ni mtazamo, na hali hiyo ina bright future si tunaona bwana, bado miaka 10 kuna nafasi kubwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...