waheshimiwa na familia zao wakipumzika mnadani kizota jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2006

    inapendeza kama sasa hivi wameanza kwenda na familia zao mambo siyo mabaya, huyo ni kamala au......

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2006

    Huyo jamaa mwenye T-shirt ya kijani kafanana sana na Bertram Eyakuze. Nadhani atakuwa ni yeye.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2006

    namuon tu hapo dr kamala alinifundisha huyu jamani!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2006

    vipi kuna bia mpya TZ mbona chupa ya karibu ya mheshimiwa siifahamu ni bia gani. Niliondoka long-time wakati zilipotoka Bingwa na KIKI, sijui kwasasa ila uongo mbaya pamoja na matatizo ya nchi yetu, usalama na amani vinatusaidia kupumzika sehemu kama hizo. Idumu Tanzania.

    ReplyDelete
  5. Hiyo ni serengeti lager AKA chui chui hii ni bia mpya kidogo haina hata miaka miwili kama sikosei, ni bia nzuri sana, haina sukari wala hang-over pia inasaidia kulainisha choo kwa wale ambao hawali matunda kama mapapai

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 31, 2006

    ya naona waheshimiwa mnajichana tu ndani ya domu. kwani huyo bethram naye ni mbunge, maana huyu wa kwanza anaitwa kamala na anayemfuatia hapo anaitwa masha na huyo wa pembeni naona ni mkewe kama sikoseina mtoto wao.it is so nice kuwapo pamoja.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2006

    Hiyo serengeti lager ni bia ya siku nyingi kiasi nadhani ina kama miaka 5 na si miwili kama mwenzetu alivyoelezea

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 31, 2006

    Kweli huyo ni Deodatus Kamala naona kanenepena hata gym haijui kijina mdogo anajiachia ivo. Pia huyo ndio kamala aliye na Phd na udakitari wa uongo na kweli alioupata kutoka chuo cha kwene brifukesi.

    Kama huyo ni masha nafurahi kumuona lakini inanitia uchungu kwamba yeye huyo alikuwa mwakilishi (lawyer) pia mkurugenzi wa kampuni ambayo yeye masha mwenyewe alisimimia ikasaini mikataba isiyofaa ktk uchimbaji wa madini, Kwa bahati mbaya kwa Tiafa nzuri kwa masha kapewa wizara ya madini na yeye masha atakuwa influensho ktk kupitia mikatabu baina ya serikali na makampuni hayo, kama ni kweli kikwete atafuatilia ahadi yake ya kupitia mikatabu upya, I think masha will be out to cover his mess and cleaout his tracks!

    Ndio maana sitashangaa kuona kasi ya mpya, ari mpya na nguvu mpya yote iko kwenye mwendo wa cyclone amacho huwa kina kasi, nguvu mpya lakini zote ktk uharibifu kama vile sunami ilivokuwa na nguvu lakini za uharibufu kwa maana ingine kasi nguvu na ari mpya bila mwelekeo kwani kama waheshimiwa sio waaminifu kwao wenyewe hadi wamemdanganya rais na wananchi kuhusu elimu yao sioni ni kitu gani kitawafanya wasili didimishe taifa

    ReplyDelete
  9. Waheshimiwa wa Tanzania wenyewe wanakunywa Bia ya nje (Ili waonekane wana pesa) badala ya kunywa ya nyumbani kuonyesha uzalendo. Mungu Ibariki tanzania (Africa)

    ReplyDelete
  10. anony 3:46:48 bia unayoongelea wewe ni serengeti classic ndio yenye miaka kama mitano (5)na sio LAGER halafu hiyo classic waliacha kuitengeneza baada ya kuanza kutengeneza hii LAGER

    ReplyDelete
  11. Hao watu wote hapo WANATIA KINYAA!

    ReplyDelete
  12. Bertram naona unatesa na mawaziri, good luck mkuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...