Home
Unlabelled
mali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Janeth Isinike, huyu dada toka aje twanga bado hajatunga hata beti moja kwenye bendi hii, yeye anaimba copy za Jesca Charles
ReplyDeleteNAKUNGOJA NIKUONE PICHA ZAKO UKIWA KAMA ULIVYOZALIWA KWENYE EMAIL YANGU.
ReplyDeletekwani jessica ameondoka?
ReplyDeleteJamani Jesica Charle ameondoka?this mdada she is v.cute jamani,kwanza yupo natural,dada usjejiharibu kama wenzio hao na mikorogo.unapendeza hivyo ulivyo.maana hata mwenzio Jesica mikorogo ilishazidi mpaka kero!
ReplyDeletekeep it up.your pure african woman!!
mbona mtu mwenyewe,bibi kizee!!
ReplyDeleteinamana huyo ndiyo mrithi wa jescal ndani ya twanga?huyo inaonekana akija kutunga nyimbo yake itakuwa nzuri kama alivyo yeye mwenyewe
ReplyDeleteHuyu mpeni miezi kadhaa utakuta ashajichuna ngozi na mikorogo ya Congo...Atajiharibu kishenzi
ReplyDeleteHalafu Jesca miezi kama hii mwaka jana alikuwa na mimba kubwa tu, sijui alijifungua salama? Au mtoto ndio anamweka bize!
ReplyDeleteWee narubumenye unaangalia kwa kutumia pua au mdomo au macho? We mkorogo wote huo bado unaita pure african woman? Ni mkorogo mtupu!!
ReplyDeleteana mkorogo sana hapoo sema tu umemkubali...
ReplyDeleteana mkorogo sana hapoo sema tu umemkubali...
ReplyDeleteMnamuandama dada wa juzi tu huyu, sasa kama watu wangetaka kuendelea si wangefanya hivo, sasa mbona aisha yamemshinda alikua anajidai kuimba hata sijui kaishia wapi au ndio ulikua ubishoo tu,lakini alijua akiwa stejini muda mrefu atashindwa kupata vya chapchap. Maana tena yeye ndio angefata nyayo nzuri maana kaanza kuimba na Jesca tangu Kilimanjaro connection zamani, watu wengine bwana hawana tamaa kabisa ya kujiendeleza, mara karukia filamu, kaacha mara katoa single yake, basi tu ili mradi maruemarue, ila vingine anaweza kuwa mstari wa mbele kama kupiga mapicha ya ovyo, hayaa akalage baho. huyu dada mpya atafika mbali tu mumpe muda na uhai atatunga nyimbo nyingi mi bado na imani nae.
ReplyDeleteama kweli wewe mjinga hapo juu hujui mkorogo!!huyo dada hana mkorogo!!wewe kila mtu mzuri unadhani ni mkorogo tuu!!
ReplyDelete