Hawa ni baahi ya wadau waliofanikiwa Kupata nondozz ya Uzamili katika fani mbalimbali za Sayansi na Uhandisi toka Tassisi ya Elimu ya Maji ya Umoja wa Mataifa ilyopo Delft, Uholanzi. Huko wenzetu wakipokea nondozz hawavai majoho kwani hayo huvaliwa kwa wanaopokea PhD, wengine ni kavukavu tu kama ionekanavyo pichani.

Wadau hao, bila mpangilio katika picha bali ni taarifa kwani wengine hawakuwepo hapo, ni pamoja na:
1. Florence Mahay (MSc in Water Science and Engineering-Hydroinformatics toka Wami Ruvu Water Basin Ecohydrology- Study: Kirumi Wetland using Hydroinformatics tools)

2 Godfrey Komba (International Msc.in Intergrated Urban Engineering kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji -Study Performance Assessment of Basic Infrastructures Improvements in Unplanned/Slum Areas Case study DSM, focus on Access and drainage)

3 Jackson Masaka (International Msc.in Intergrated Urban Engineering toka Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa - Study: Integrated Data on Water, Wastewater and Transportation Infrustructure Assets in Developing Countries: A Case Study of Tanzania)

4 Regnald Massawe (International Msc.in Intergrated Urban Engineering toka Mwanza Urban Water and Sewerage Authority - Study: Performance Assessment of Basic Infrastructures Improvements in Unplanned/Slum Areas)

5 Segule Segule (Water science enginneering-Hydrology toka Wizara ya Maji - Study: Water Resources Rainfall-Runoff modelling of upper yellow river using Ground and TRMM rainfall data)

6 Shelard chilemeji ( International Msc.in Limnology and Wetland Ecosystes toka UDSM - Study: Variations in abundance and diversity of parasites infecting catfish, Clarias gariepinus and Tilapia Oreochromis urolepis in the Mindu dam, Morogoro, Tanzania)

7 Thecla Mneney (MSc in Port Development toka Madlanduna Corporation - Study: SA Enhancement of the Port Infrastructure Maintenance System of the Transnet National Ports Authority in SA.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Wadau hongereni sana kwa kupata hizo Nondoz! Pia nimefurahi sana kuona Master Thesis zenu, title zake zilikuwa ni kuhusu Tanzania, nawaomba mkirudi nyumbani mjaribu ku-implement findings zenu katika hayo maeneo mliyofanyia research ili gurudumu la maendeleo ya taifa lisonge mbele kwa kasi zaidi. Congratulations once again!

    Mdau,
    Gothenburg, Sweden.

    ReplyDelete
  2. Hongera zenu sana, nimefurahi kukuona Frt. Florence Mahay Kajiru. Mie mwanafunzi wako wa Likonde Seminari na sasa hivi nafanya Msc. Geotectonics.

    Remi

    ReplyDelete
  3. Hiyo picha hapo juu huyo kaka wa pili kutoka shoto kakunja pua kama kuna mtu kachafua hewa hapo jirani,na mbona mfupi sana!!mdau

    ReplyDelete
  4. Picha ya juu, jamaa wa pili kutoka kushoto nakumbuka kumuona Erasmus varsity, R'dam km mwezi umepita umepita sasa, IHS 50 years anniversary... Hope ni yeye...

    ReplyDelete
  5. Unaona bwana,Tanzania ina wasomi wazuuurii tuu.Mosi,Ila wanatakiwa wapewe suuport na serekali ili waweze kuzitumia ipasavyo hizo elimu na kuleta maendeleo katika nchi.Pili,Wanatakiwa wapatiwe nyenzo bora za kisasa zitakazo landana na viwango vyao vya elimu ili tuweze kuona mabadiliko ya kimaendeleo watakayo yaleta.Tatu,ni gharama kubwa saana kujisomesha au kumsomesha mtu kufikia kiwango hicho,hivyo basi,ni jambo la busara kuona "what we have been investing to these people,it pays back effiently"

    ReplyDelete
  6. Tatitizo la tanzani siyo wasomi ila watu wamekosa uzalendo kwa kufanya ufisadi. Wasomi ni wengi sana na CV zao zinatisha lakini maendeleo ya nchi hayasogei kwa sababu watu wamekuwa wbinfsi sana na wezi wa hali ya juu. Mimi nadhani sas tufike mahali tujiulize kama wasomi, watanzania tunamchango gani kwa nchi na kwa watanzania kwa ujumla na siyo ufisadi. Ni aibu mtu una cheti cha sheria Havard then unasaini mikataba mibovu!

    ReplyDelete
  7. Segule wa Segule !
    Hongera kaka,
    Very strong character !
    Old school mate Usagara.
    Mtuendelezee nchi yetu sasa,siyo mtufidasishe !
    kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...