Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB Bi.Nelie Ndosa akikabidhi jezi kwa Mkuu wa Mafunzo wa jeshi la Wananchi wa Tanzania, Meja Jenerali Lioba, katika sherehe fupi iliyofanyika makao makuu ya jeshi hilo Upanga, jijini Dar.Jezi hizo zitatumika kwa ajili ya wanajeshi wa Tanzania waliopo huko Darfur, Congo na Lebanon. Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB Bi.Nelie Ndosa akikabidhi miamvuli kwa Mkuu wa Mafunzo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Meja Jenerali Lioba,katika sherehe fupi iliyofanyika makao makuu ya jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Upanga, jijini Dar.Miamvuli hiyo ni kwa ajili ya wanajeshi wa Tanzania waliopo huko Darfur,Congo na Lebanon

Nataka kusahisha hiyo taarifa uliyo andikwa hapo juu michuzi,ni kwamba Tanzania hawana askari wa JWTZ nchini Congo.
ReplyDelete