Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB,Dr. Charles Kimei akipokea tuzo ya 'Superbrands' kwa benki bora Tanzania, kutoka kwa Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki, Bw. Jawed Jaffer katika sherehe zilizofanyika katika hotel ya Holiday Inn Jijini
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dr. Charles Kimei akipokea tuzo ya 'Superbrands' kwa benki bora Tanzania, kutoka kwa Mkurugenzi wa Superbrands Afrika Mashariki Bw. Jawed Jaffer.katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa Benki hiyo Bi.Tully Esther Mwambapa
Wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wao Bi.Tully Esther Mwambapa na Mkurugenzi wa SuperBrands Bw.Jawad Jaffer katika sherehe ya kupokea tuzo ya benki hiyo kuwa benki bora ya Superbrands kwa mwaka 2009-2010

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mkurugenzi right or left ?

    ReplyDelete
  2. AS A NEW CUSTOMER OF CRDB BANK...
    I DO SAY YES CRDB SERV. IS SUPERB AND THEY DESERVE THE AWARD......
    KEEP IT UP CRDB.

    ReplyDelete
  3. Pongezi kwa Dr. Kimei,
    Kwa kuongoza moja ya benki zinazofanya kazi safi nchini.

    Ahsante sana, endelea hivyo hivyo mzee, tunaitaji mabosi wengi kama wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...