Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakisainiana mkataba wa makubaliano ya pamoja ya masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi hizo mbili, wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Iran, Mhe. Mohammad Reza Rahimi, wakibadilishana mkataba baada ya kusainiana mkataba huo wa makubaliano ya pamoja ya masuala mbalimbali yanayohusu uhusiano wa nchi hizo mbili, wakati wa hafla hiyo fupi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam jana Mei 30, 2012. Picha na Amour Nassor-OMR.
Administrator naona ni mbaguzi,nilipost hapa comment hujaweka au kwa kuwa inahusu Irani kusamehe riba kwa Tanzania?Mbona haueleweki, unaitakia Tanzania kheri kweli au ndiyo upo na wale wanaolinda MFUMO KRISTO (VIBARAKA WA WAKOLONI)
ReplyDeleteDuh!hii kali,yetu macho
ReplyDelete