Mdau Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa katika pozz mara baada ya kumeremeta katika ndop yao iliyofungwa kwenye kanisa Katoliki la St. Immaculata, Upanga, Dar es salaam hivi karibuni.
Maharusi Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa na nondozz zao mara baada ya kukabidhiwa na padri.
Maharusi Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao.
Maharusi Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao,kwenye hafla ya jioni iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kiramuu,jijini Dar.
Pongezi kutoka kwa Wageni.
Maharusi wakifungua dansi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. DADA UMEPENDEZA SANAA,HILO GAUNI LIZURI MNO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...