Mdau Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa katika pozz mara baada ya kumeremeta katika ndop yao iliyofungwa kwenye kanisa Katoliki la St. Immaculata, Upanga, Dar es salaam hivi karibuni.
Maharusi Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa na nondozz zao mara baada ya kukabidhiwa na padri.
Maharusi Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao.
Maharusi Vincent Mughwai na mai waifu wake Angelca Minja wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao,kwenye hafla ya jioni iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kiramuu,jijini Dar.
Pongezi kutoka kwa Wageni.
Maharusi wakifungua dansi.
DADA UMEPENDEZA SANAA,HILO GAUNI LIZURI MNO.
ReplyDelete