Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha mafunzo kwa Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge. Kikao hicho kinaendelea kwa siku ya pili katika Ofisi ya Ndogo ya Bunge Zanzibar.anayefuata ni Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Pandu Kificho, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye ulemavu, Mhe. Jenister Mhagama, Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai, Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Mhe. Hawa Ghasia.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha mafunzo kwa Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kinachoendelea kwa siku ya pili katika Ofisi ya Ndogo ya Bunge Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti na Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge wakimsikiliza mtoa mada kutoka Idara ya Usalama, Ndugu Mluli Mahendeka katika semina ya kuwajengea uwezo inayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge, Zanzibar. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha mafunzo cha mafunzo hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...