Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akitambulishwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kwa Mkurugenzi Mkuu Shirika la Reli Tanzania Ndugu Masanja Kungu Kadogosa alipofika kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019 

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akipewa maelezo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019 
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akisalimia wananchi wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya mradi wa Reli ya Kisasa eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019 
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa kongo (DRC)
Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akiwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe akikagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR na njia itamopita wakati mgeni huyo alipotembelea sehemu ya mradi huo eneo la Vingunguti ‘Mahakama ya Mbuzi’ jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019 
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Watu wa
kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo akitambulishwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaack Kamwelwe Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isaack Kamwelwe kwa viongozi wa kampuni ya upakuaji Makontena ya Tanzania International Containers Terminal Services (TICTS) alipotembelea Bandari ya Dar es salaam jijini Dar es salaam leo Juni 14, 2019
PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...