Home
Unlabelled
dubai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kumbe waarabu wameendelea!
ReplyDeleteNimekata nywele za...kusudi thong ibane vizuri!
ReplyDeleteMichuzi kaka we jilie tu hii nchi maana ni wakati wako.Vp ukitoka huko utaunganisha mpaka mashariki ya mbali kwenye msafara wa presidaa?Tunakosa uhondo wa huko.Picha za JK,mamaa Salma na msafara mzima wa rais.Salimia waarabu wote.
ReplyDeleteKaka Michuzi siku hizi unaonekana kama dingi wa mapesa! Ile jeketi uliyokuwa unavaa ukiwa unapiga picha YMCA Disco uweke kama kumbukumbu.
ReplyDeleteANHAA TUMESHAKUELEWA KUWA SASA UNAELEKEA JAPAN KWA MJOMBA WAKO. MAMBO YA NAIROBI ILIKUWA GERESHA!
ReplyDeleteHivi wewe Michuzi ni mwandishi ama mfanyabiashara......maana hiyo miguu,kutwa inapepea.Ukaona mpaka upige picha palipoandikwa Dubai....tukubali sio?Wabongo bwana!
ReplyDeleteKweli upo Dubai?
ReplyDeleteTutafute basi watanzania wenzako!
+971503491001
vipi michuzi safari hii wamekutema nini huendi kwenye msafara wa rais?nenda bwana tupate uhondo wa huko,hawajui kuwa wewe ni mtu wa maana kwenda maana unatupatia habari za papo kwa papo!waombe basi wakuchukue
ReplyDeleteMichuzi kila leo ni safari, sasa mkeo akilalamika utafanyaje? kumbuka bongo kuna wapenda wake za watu shauri yako. Anyway, blog yako iko interactive lakini chambua picha zenye maudhui mema sio kutuwekea gabbage sometimes.
ReplyDeleteMichuzi kwa kupenda sifa ni namba moja, sasa huyo ni nani?
ReplyDeleteHuyo aliyepiga picha na Michuzi ni Mtanzania yeye ni Mwakilishi wetu katika Ubalozi wetu mdogo wa Tanzania pale Dubai
ReplyDelete