Tanzanian and Kenyan Media
Kenya: Mazungumzo ya Kikwete,Bush yakera Wakenya
Tanzania: Bush hajakosea kuzungumzia Kenya akiwa na Kikwete
Kenya: Ikulu yashtuka Kikwete kukashfiwa tena Kenya
Tanzania: Kikwete hao ndiyo wakenya.
Tanzania: Heri Kulamba Miguu ya Kikwete Kuliko ya Mabeberu
Tanzania: Shirikisho la Afrika Mashariki (EAC) na wananchi wa Ngara!
Rwanda: Cry Tanzania. Cry the beloved country
Kenya: Let's face it, the Tanzania media is not being very neighbourly
Tanzania: Jumuiya ya Africa Mashariki - Salamu nyingine toka Kenya.
Kenya: Mbunge Kenya awatoa hofu Watanzania
the shaping of envisaged EAC should be multistrategic,however grandiose efforts should be directed to debates with local policy makers than counteracting the foreign media.
ReplyDeleteHivi Mchuzi na wengine mnaandika swala hili mnataka nini? Nadhani misingi ya uandishi mnaweka pembeni na bila kufikiria madhara ya mambo mnayoandika iwe kwenye blogs au hata magazeti kwa usalama wa nchi.
ReplyDeleteMnachokifanya ni sawa na CNN ilichokuwa inafanya kutangaza habari ya katuni za Denmark zilizokuwa zinamtukana Mtume matokeo yake zikawa zina spark moto.
HEbu tuachane na habari za watani wa jadi wamemsema hivi JK na yale na lile. Hamna haja ya kujibu japo kuna haja wote tutaonekana wajinga.