
Kaka Michuzi,
Bila shaka unaendelea vyema na libeneke la kuipa habari jamii ya kitanzania ndani na nje ya Bongo.Ningependa kuwakaribisha wadau na wapenzi wa globu yetu ya jamii kwenye globu nyingine mpya ambayo inatoa habari za maisha,burudani, na vituko vingi vya Bongo na kiwanja(kwa wabeba box..lol).
Globu hii ni
www.tunyfish.com
Burudani ni kama non-stop music kama rap,bolingo,R&B,bongoflava,na slow jams kama mvua ikiwa ni mchanganyiko wa old schools na muziki wa kizazi kipya,breaking news toka CNN 24/7 pia unaweza kuangalia "live" matukio ya michezo mbalimbali ndani na nje ya USA via Sportcenter live,soccer ya Ulaya toka Foxsports TV plus videos za music kama hip hop,R&B,n.k toka Europe 24/7.Bila kusahau links za globu mbalimbali murua za watanzania toka pande zote duniani.
Kwa habari zaidi na uondo huu basi ingia www.tunyfish.com. Kwa wale ndugu,jamaa,na marafiki tuliyopotezana miaka mingi toka Tabora Boys,Azania,na Tambaza High School please fanya hima tuwasiliane kwa emails hizi: tuny79@gmail.com (facebook) au tuny@tunyfish.com.
Our motto ni "Lets do and share the right things".
Karibu sana..!!"
Jamani kwa nini blog nyingi hawaweki taarab?bongo siku hizi taarab ipo juu.
ReplyDeleteNdugu yangu mbona unaweka na kashfa kwa watu wa nje tena tuwe wastaarabu jamani.
ReplyDeleteI see you cuz...go harder, go further...!
ReplyDeleteIvi ni blogu au globu?
ReplyDeleteKAKA MICHUZI,
ReplyDeleteNINA USHAURI, NA WALA SINA NIA MBAYA, WASOMAJI WANIELEWE. NINAFIKIRI UTANGAZAJI WA BLOG ZA WATU HUMU NDANI YA BLOG YA JAMII, MIMI BINAFSI NAONA KAMA ZIMEKUWA NYINGI MNO. PIA NAMNA YA KUZITANGAZA HAIONYESHI MVUTO KUWA WANA NINI CHA KUWAFANYA WATU WATEMBELEE MARA KWA MARA. NINA WASIWASI WATU WATAISHIA TU KUZIWEKA BLOGUNI MWAKO, NA WATU WAZITO KAMA MIMI WASIONE MVUTO WA KWANINI WATEMBELEE.
MDAU
Haya Tuni naona mambo yako sio mchezo. kila la heri...
ReplyDeleteTimeo
Mzee hiyo picha umeipigia wapi? Unanikumbusha Milima ya Upareni sehemu inaitwa Suji. Huko ni maarufu sana......!! Ni mojawapo ya vijiji maarufu sana Tanzania ukitoka Gezaulole na Katerero unakuja Suji..!! One of the best places on earth na watu huko wema kama nini....!!
ReplyDeleteNaipenda hii style ya kupashana habari kwa njia rahisa na ya haraka kwa mtoaji habari na mpokeaji habari.
ReplyDeletekila mara nikiingia www.tunyfish.com nakuwa najifunza mengi kwa wenzetu wa nje wanavyojitahidi kujumuika pamoja na kusaidiana kwa kila jamabo linalohitaji kusaidiana pia ni challenge kwa wengine hasa hapa nyumbani, kusaidiana si kwenye raha tu pia kwenye shida na kuunda Groups ni muhimu sana kwa kushirikiana kwenye events za michezo,burudani na mengineyo ili urafiki uende kwenye next level UNDUGU!
-Chedy
Hongera sana, web nyingi zinaanzishwa na nyingi huwa zinakufa kwa kukosa ushirikiano kutoka kwa wafau, tutembelee www.tunyfish.com tuweze kujifunza mengi na kupata idea tofauti.Endeleza libeneke kaka usikate tamaa.
ReplyDelete- GAB
Hongera sana, web nyingi zinaanzishwa na nyingi huwa zinakufa kwa kukosa ushirikiano kutoka kwa wadau, tutembelee www.tunyfish.com tuweze kujifunza mengi na kupata idea tofauti.Endeleza libeneke kaka usikate tamaa.
ReplyDelete- GAB
Salute kamanda wangu!!msalimia bubbles
ReplyDeleteKwantha kabithaaa nakupa HONGERA kwa kuathisha blogu yako.
ReplyDeletePili hiyo picha inanikumbusha mbali thanaaa.. nyumbani ni nyumbani hata.... (malithia wewe) ahaha.
Nakutakia kila heri kwa ulimwengu wa bulogu...being no.1 isnt difficult but maintaining.....being no.1 duh..(bulogu nyingi zinazaliwa na nyingi zinakufwa) najaribu kukwambia ukaze buti kaka ili bulogu yetu isiwe kati ya zitakazokufwa,we wanna share thoz right tings wt u!
keep it up!
This looks like usambaani or upareni to me!! Correct me if Im wrong!
ReplyDeleteNgoma kwa wapare hiyo,huyu kaka urefu katoa wapi?Wapare wengi ni wafupiii inaonekana hakukulia kwenye milima ya ugweno huyu.Tunyfish globu yako imetulia na sasa nakita muziki masaa 24 toka kwako.Mduara vipi au Merikani hakuna?
ReplyDeleteKaka waja bongo kimya kimya na kuondoka kimya kimya.Babu viiiipi?-Sheihk Hassan Mussa
ReplyDeleteAsante saana mdau wetu Michuzi kwa msaada kwenye tuta,now nina mawasiliano na watu lukuki ambayo I never thought ningesikia toka kwao.Asante pia kwa wote waliyotoa comments.Things will be great kama tunaendeleza umoja na libeneke hili."Bubbles"is doing fine na ametimiza miaka 3 leo.Thanks bro!!!
ReplyDeleteJibaba globu yako inakita ngoma kama tupo kiwanja.Ni party tosha.Give you pros hapo.
ReplyDelete