"MICHEZO"
Showing posts with label MICHEZO. Show all posts








Na Janeth Raphael – MichuziTv - Bungeni Dodoma


SERIKALI imesema maandalizi ya Tanzania kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 yanaendelea kwa kasi, huku ikihakikisha miundombinu muhimu ya michezo na huduma wezeshi inakamilishwa kwa wakati.

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo leo, Ijumaa, Septemba 4, 2026, jijini Dodoma, wakati akiwasilisha hoja ya kuahirisha Bunge la 13, Mkutano wa Nne.

Amesema kazi zinazoendelea zinahusisha ujenzi na ukarabati wa viwanja vya mashindano na mazoezi, barabara zinazounganisha maeneo ya viwanja, pamoja na kuhakikisha upatikanaji wa huduma muhimu za afya, maji na umeme.

Kwa upande wa viwanja, Dkt. Mwigulu amesema ujenzi wa Uwanja wa Jiji la Arusha umefikia zaidi ya asilimia 91, huku ujenzi wa uwanja mwingine wenye uwezo wa kuchukua zaidi ya watazamaji 32,000 ukiendelea.

Amesema kwa upande wa Dar es Salaam, ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa pamoja na viwanja vya mazoezi umekamilika, hatua inayoongeza utayari wa jiji hilo katika maandalizi ya mashindano hayo.

Kwa upande wa Zanzibar, Serikali imeeleza kuwa Uwanja wa Fumba unaendelea katika hali nzuri, huku miundombinu mingine ikiwemo New Amaan Complex, Amaan Annex One na Annex Two ikiwa imekamilika. Aidha, Uwanja wa Amaan umeelezwa kuwa katika hali nzuri kwa matumizi ya mashindano.

Dkt. Mwigulu amewataka wasimamizi wa miradi kuhakikisha fedha zinazowekezwa katika maandalizi ya AFCON 2027 zinazalisha thamani inayolingana na uwekezaji huo, akisisitiza kuwa Tanzania inapaswa kutumia nafasi ya kuwa mwenyeji wa mashindano hayo kupata manufaa ya kiuchumi.

Amesema wizara na taasisi zinazohusika zinapaswa kuendelea kuratibu mikakati itakayowezesha Tanzania kunufaika kikamilifu na fursa zitakazotokana na uenyeji wa mashindano hayo, huku akiwataka wadau wote kushiriki kikamilifu ili kuepusha vikwazo vinavyoweza kupunguza ufanisi na manufaa yanayotarajiwa.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesisitiza umuhimu wa Tanzania kuwa na timu ya taifa yenye ushindani wakati wa mashindano hayo, akisema mwenyeji hapaswi kuwa mshiriki wa kawaida au “msindikizaji”.

“Sisi ni wenyeji wa mashindano, hivyo tunapenda kuona timu ya taifa pia inakuwa na ubora na sio msindikizaji,” amesema Dkt. Mwigulu.

Amewataka makocha, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benchi la ufundi kuanza mapema kuweka mikakati maalumu itakayoiwezesha timu ya taifa kufanya vizuri katika AFCON 2027.

Tanzania itakuwa miongoni mwa wenyeji wa AFCON 2027 pamoja na Kenya na Uganda, hali inayoiweka nchi katika nafasi ya kutumia mashindano hayo kukuza sekta ya michezo, utalii, biashara na shughuli nyingine za kiuchumi.



MCHEZO wa kasino Wild White Whale umeendelea kuvutia macho ya wapenzi wa burudani za kasino, na sasa Meridianbet imeongeza msisimko mwingine kupitia promosheni inayompa kila mchezaji nafasi ya kupata mizunguko 50 ya bure. Kupitia ofa hii, wabashiri wanaweza kufungua zawadi hiyo kila wanapokamilisha mizunguko 100 kwenye mchezo huo. Ni fursa inayoongeza ladha ya mchezo huku kila mzunguko ukiwa na nafasi ya matokeo mapya.

Kinachofanya promosheni hii iwe na mvuto zaidi ni kwamba mizunguko 50 ya bure hutolewa bila kujali matokeo ya mizunguko 100 ya awali. Hivyo, kama umefanikiwa kupata ushindi au haujapata matokeo uliyotarajia, bado unapata zawadi yako baada ya kutimiza idadi inayotakiwa. Kwa lugha rahisi, safari yako ya mizunguko 100 haimalizii hapo, bali inafungua mlango wa mizunguko mingine 50 ya ziada ambayo huongezwa moja kwa moja kwenye akaunti yako.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ili kuingia kwenye mchezo huu, mchezaji anatakiwa kuwa na akaunti ya Meridianbet na kucheza Wild White Whale kwa kutumia pesa halisi. Baada ya kukamilisha mizunguko 100, mfumo huongeza mizunguko 50 ya bure kwenye akaunti yako. Hata hivyo, ofa hii inahesabiwa kwa mteja mmoja kwa kila akaunti, hivyo kila mshiriki anapaswa kuhakikisha anatumia akaunti yake halali na kufuata masharti yaliyowekwa kwenye promosheni.

Habari nyingine njema ni kwamba mizunguko hiyo ya bure haina masharti ya kucheza tena, hivyo ushindi unaopatikana kupitia mizunguko hiyo unaweza kufurahiwa kwa uhuru kulingana na masharti ya mchezo. Meridianbet pia imeweka wazi kuwa inaweza kubadilisha au kusitisha promosheni hiyo wakati wowote bila kutoa taarifa ya awali. Kwa hiyo, wapenzi wa kasino wanaovutiwa na ofa hii wanapaswa kufuatilia masharti yake na kutumia fursa hiyo ikiwa bado inapatikana.

Kwa ujumla, Wild White Whale sasa ina sababu nyingine ya kuwavuta wachezaji wanaotafuta burudani yenye msisimko zaidi, huku mizunguko 50 ya bure ikiongeza nafasi ya kuendelea na mchezo baada ya kutimiza mizunguko 100. Kama unataka kuingia kwenye safari hii ya baharini yenye msisimko, tembelea tovuti ya Meridianbet au tumia application ya Meridianbet, chagua Wild White Whale na uanze mchezo.

Ipswich Town wanawakaribisha Liverpool katika uwanja wao wa Portman Road, Ijumaa ya leo majira ya saa 22:00 usiku, mchezo huu ni mzunguko wa tatu wa msimu wa 2026/27 wa Ligi Kuu ya Uingereza, na mechi hii inatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa kutokana na hali za timu hizi mbili kutokana na michezo yao ya awali msimu huu.

Ipswich Town wamerudi Ligi Kuu baada ya kutwaa nafasi ya pili katika Championship msimu uliopita. Wameanza msimu vizuri kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Sunderland nyumbani, lakini walipata pigo kubwa la kufungwa mabao 5-2 na Manchester United huko Old Trafford.

Hata hivyo Matokeo hayo yanaonyesha kuwa Ipswich wana nguvu mbele lakini wana upungufu mkubwa katika ulinzi, wakiwa wamefunga mabao manne na kufungwa sita katika mechi mbili za kwanza.

Kwa upande wa Liverpool, msimu wao umeanza kwa uchovu kidogo timu hiyo imepata sare mbili mfululizo katika mechi zao za awali, ikionyesha usawa wa mabao manne kufunga na manne kufungwa.

Hata hivyo, takwimu za uchezaji binafsi wa wachezaji zinaonyesha Liverpool bado wana ubora wa hali ya juu kwenye uwanja, hata kama matokeo ya mechi za awali hayajaonyesha hilo bado.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kihistoria, Liverpool wana rekodi kubwa dhidi ya Ipswich, wakiwa wameshinda mechi 39 kati ya 74 walizocheza dhidi yao, huku Ipswich wakishinda mara 14 tu na sare 21. Mchezo wao wa mwisho ulimalizika kwa ushindi mkubwa wa Liverpool wa mabao 4-1, jambo linaloonyesha wazi ubora wa Liverpool katika historia ya ana kwa ana.

Wachezaji wa kufuatiliwa ni pamoja na Abdul Fatawu na Julio Enciso kwa upande wa Ipswich, ambao wamekuwa wajenga mashambulizi ya ubunifu eneo la mbele, huku Liverpool wakitegemea nguvu zao za kawaida za mashambulizi , ili kurejesha mwendo wao baada ya sare mbili za awali.

Kutokana na umuhimu wa mechi hii kwa Ipswich, ambao wanahitaji pointi za haraka kuimarisha msimamo wao wa msimu huu wa kwanza tangu kurejea ligi kuu.
KWENYE ulimwengu wa michezo ya kasino, kukosea namba zote kwenye tiketi mara nyingi huwa mwisho wa matumaini. Lakini sasa hali ni tofauti kwa mashabiki wa Win&Go wanaocheza kupitia Meridianbet, kwani kushindwa kubashiri kwa usahihi hakumaanishi lazima uondoke mikono mitupu. Kupitia ofa ya Lucky Loser, tiketi yako inaweza kugeuka kuwa tiketi ya ushindi hata pale ambapo namba ulizochagua hazijakaa sawa. Ni aina ya nafasi inayofanya mchezo uwe na mvuto zaidi, kwa sababu wakati mwingine kile kinachoonekana kama bahati mbaya kinaweza kukupa sababu ya kutabasamu.

Siri yenyewe ipo kwenye Lucky Loser, chaguo linalokuja na zawadi kubwa kwa wachezaji wa Win&Go. Endapo umekosa namba zote kwenye tiketi yako inayokidhi masharti, badala ya kuhesabu hasara, unaweza kupata nafasi ya kushinda huku dau lako likizidishwa mara 30. Hii ina maana kuwa tiketi iliyokuwa ikionekana kama imekwisha safari yake inaweza kupata maisha mapya na kukupa ushindi wa ziada kupitia Lucky Loser.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Lakini kama ilivyo kwa ofa yoyote, kuna masharti ambayo mchezaji anatakiwa kuyazingatia. Lucky Loser inapatikana kwa tiketi za Meridianbet zilizowekwa kupitia akaunti ya fedha taslimu, na tiketi hiyo inapaswa kuwa na namba sita ndani ya mchezo wa Win&Go. Kwa hiyo, kabla ya kuingia kwenye mchezo, hakikisha unacheza kwa kufuata masharti hayo ili uweze kuwa kwenye nafasi ya kunufaika na fursa hii ya kipekee.

Kinachofanya Win&Go kuwa na mvuto zaidi ni kwamba mchezo huu hauishii kwenye simulizi la kupoteza. Kupitia Lucky Loser, hata pale ambapo namba zako hazijaingia kama ulivyotarajia, bado kuna uwezekano wa tiketi yako kugeuka kuwa mshindi na dau lako kuongezeka mara 30. Hii inafanya kila tiketi kuwa na msisimko wake, huku wachezaji wakibaki na matumaini kwamba huenda bahati ikageuka upande wao hata katika wakati ambao hawakuitarajia.

Kwa hiyo, kama wewe ni shabiki wa Win&Go na unapenda mchezo wenye msisimko wa kipekee, Lucky Loser inakupa sababu nyingine ya kuufuatilia kwa karibu. Kosa la namba zote si lazima liwe mwisho wa safari, kwani kupitia ofa hii, tiketi yako inaweza kukupa tabasamu la ushindi. Cheza Win&Go kupitia Meridianbet, kwa sababu hapa hata unapopoteza, unaweza kuibuka mshindi.

REAL Sociedad watawakaribisha Celta Vigo katika uwanja wao wa Reale Arena mjini Donostia-San Sebastián, katika mechi ya ligi kuu ya uhispania Laliga na itakayovuta hisia za mashabiki wengi wa ligi kuu ya Uhispania msimu huu wa 2026/27.

Real Sociedad wameanza msimu kwa mtikisiko Fulani, Hadi kufikia raundi ya tatu ya ligi, timu hiyo ilishinda mechi dhidi ya RCD Espanyol kwa mabao 2-1, lakini bado ipo katika nafasi za chini ya msimamo kutokana na matokeo hafifu ya raundi za awali. Hali hii inaonyesha kuwa kocha wa Real Sociedad anahitaji kuimarisha ulinzi na mashambulizi ili timu iweze kupanda nafasi za juu za msimamo.

Kwa upande wa Celta Vigo, timu hiyo imeanza msimu vizuri zaidi ikilinganishwa na wapinzani wao. Hata hivyo, katika mechi ya hivi karibuni walipoteza mbele ya Athletic Club kwa mabao 2-0, jambo linaloonyesha kuwa bado wana kazi ya kufanya hasa wanapokutana na timu kali.

Celta wanategemea sana mashambulizi ya haraka na mpangilio mzuri wa uwanja wa kati ili kuhakikisha wanapata matokeo mazuri dhidi ya wapinzani wenye historia ndefu kama Real Sociedad.

Mechi kati ya timu hizi mbili zimekuwa na ushindani mkubwa. Katika michezo 33 iliyopita, Real Sociedad wameshinda mara 17, Celta wameshinda mara 7, na mechi 9 zimeishia sare. Takwimu hizi zinaonyesha ubora wa Real Sociedad wanapocheza nyumbani, ingawa Celta wana uwezo wa kuvuruga mipango ya wenyeji kwa mashambulizi ya kasi, hasa kupitia pembeni mwa uwanja.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa upande wa majeruhi, Real Sociedad watakosa huduma za beki wao Álvaro Odriozola kutokana na jeraha, jambo linaloweza kuathiri mpangilio wao wa ulinzi. Celta Vigo kwa sasa hawana taarifa za majeruhi wa maana, hali inayowapa nafasi nzuri ya kuweka kikosi chao bora zaidi uwanjani.

Mechi hii inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Real Sociedad wanacheza nyumbani na wana historia nzuri dhidi ya Celta, lakini hali yao ya sasa ya ligi inawapa shinikizo la kutafuta ushindi wa lazima. Celta Vigo, kwa upande wao, watakuja na lengo la kutumia udhaifu wa ulinzi wa wenyeji ili kuchukua angalau pointi moja au tatu kutoka Reale Arena.

MECHi hii ya raundi ya kwanza ya DFB Pokal msimu wa 2026/27 itachezwa leo Jumatano, Septemba 2, 2026, saa 21:45, katika uwanja wa Bremer Brücke, mjini Osnabrück.

Mabingwa watetezi Bayern Munich walipangiwa safari ngumu kwenda Lower Saxony baada ya kura kupigwa Juni 6 katika Jumba la Makumbusho la Mpira wa Miguu la Ujerumani mjini Dortmund. Kwa sababu Bayern na Dortmund walicheza Franz Beckenbauer Supercup Agosti 22, mechi zao za raundi ya kwanza ziliahirishwa hadi mwanzoni mwa Septemba.

Hii itakuwa mara ya nne timu hizi kukutana katika DFB Pokal, mkutano wao wa mwisho ukiwa msimu wa 2004/05 ambapo Bayern walishinda kwa bao la 3-2. Osnabrück, ambao ni wageni wapya katika 2. Bundesliga baada ya kutwaa ubingwa wa 3. Liga msimu uliopita chini ya kocha Timo Schultz (ushindi 24, sare 8, kushindwa 6 kati ya mechi 38), watakuwa wakikabiliana na mpinzani mkubwa zaidi katika historia yao ya hivi karibuni.

Bayern wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na kasi kubwa baada ya kuanza msimu wa Bundesliga kwa ushindi mkubwa dhidi ya VfB Stuttgart, ambapo waliongeza mabao manne nusu ya pili. Msimu uliopita Bayern walifunga rekodi ya mabao 122 ya Bundesliga na kuchukua "double" (ligi na kombe) chini ya kocha Vincent Kompany.

Hata hivyo, timu inakabiliwa na changamoto za majeruhi eneo la kati ya uwanja Jamal Musiala bado hajapona kikamilifu kutokana na matatizo ya kiafya, wakati Lennart Karl na Serge Gnabry wanaendelea kurejea baada ya majeraha. Hii inaweza kumfanya Kompany afanye mabadiliko kadhaa ya kikosi ili kuwapumzisha wachezaji muhimu kabla ya ratiba nzito ya msimu.

Kwa upande wao, Osnabrück wanaingia kwenye mechi hii wakiwa na kujiamini kutokana na msimu wa ushindi uliowapandisha daraja. Wachezaji kama Robin Meißner (mfungaji bora wa timu), Bjarke Jacobsen na Lars Kehl walikuwa nguzo muhimu za mafanikio yao msimu uliopita. Ingawa sasa wanacheza dhidi ya kiwango cha juu zaidi cha ushindani.

Kihistoria, mechi za mzunguko wa kwanza wa DFB Pokal mara nyingi huwa kwa timu kubwa, hasa zinapocheza ugenini dhidi ya timu za ngazi ya chini zenye kila cha kupoteza. Hata hivyo, ubora wa kikosi cha Bayern wenye nyota kama Harry Kane, Michael Olise na Joshua Kimmich unabaki mkubwa mno kulinganishwa na Osnabrück.

UWANJA wa sloti umepewa changamoto mpya. Meridianbet imezindua Meridianbet Missions, mfumo unaowapa wachezaji misheni mbalimbali za kukamilisha huku wakikusanya alama zinazoweza kuwa tiketi yao kuelekea zawadi. Badala ya mchezo kuishia kwenye raundi moja, sasa kuna safari yenye hatua, malengo na zawadi zinazoweza kuongeza msisimko kwa kila mchezaji anayekamilisha misheni zake.

Safari hii inawahusisha wapenzi wa michezo kama Gates of Olympia, Ladies Days, Super Heli na Win&Go, pamoja na sloti nyingine kutoka Expanse Studios. Chagua misheni unayoipenda, anza safari na kusanya alama kila unapokamilisha malengo. Kadiri alama zinavyoongezeka, ndivyo unavyozidi kusogea mbele kwenye mfumo wa Meridianbet Missions.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kuna hatua tatu muhimu kwenye safari hii, Bronze, Silver na Gold. Kila ngazi inaonyesha maendeleo yako na kukupa motisha ya kuendelea kukusanya alama zaidi. Kupitia akaunti yako ya Meridianbet, unaweza kufuatilia maendeleo yako na kupanga safari yako kulingana na misheni zilizopo. Ni mfumo unaoweka changamoto mbele yako na kukupa kitu cha kulenga kila unapocheza.

Kwenye upande wa zawadi, alama zako zinaweza kukufungulia mizunguko ya bonasi, tiketi za michezo bila malipo pamoja na bidhaa mbalimbali. Miongoni mwa zawadi zinazotajwa ni Hisense Smart TV, PlayStation 5, JBL Speaker na iPhone 16. Kwa hiyo, safari yako inaweza kuanzia Bronze lakini lengo likawa kufika juu na kulenga zawadi inayokuvutia zaidi.

Kuanza safari yako ni rahisi. Fungua akaunti ya Meridianbet, chagua sloti yako na anza kukamilisha misheni. Meridianbet Missions inaleta uzoefu mpya unaochanganya burudani na mfumo wa maendeleo wenye zawadi. Cheza mara nyingi zaidi, weka bajeti yako na furahia kila hatua ya safari.

 



NA MWANDISHI WETU

TIMU ya wanawake ya mchezo wa Hockey ya Royal Queens kutoka Zanzibar, imeanza kujiandaa na michuano ya Mapinduzi Cup inayotarajiwa kufanyika mapema mwakani ambapo imefanya mazoezi ya pamoja na wachezaji wa mchezo hao Tanzania Bara.

Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama cha Hockey Zanzibar , Juma Hassan Juma,amesema ni kwa mara ya kwanza timu ya Hockey ya wanawake kutoka Zanzibar kutua jijini humo kufanya mazoezi ya pamoja na wachezaji wa mchezo huo Tanzania bara.

Amesema , mazoezi hayo ya wiki moja yamekuwa na ufanisi mkubwa katika kuwanoa wachezaji wa timu hiyo ya wanawake.

"Tunaahidi kufanya vizuri katika michuano ya Mapinduzi Cup inayotarajiwa kufanyika Januari mwakani,"amesema Juma.

Ameeleza, changamoto iliyokuwepo awali Zanzibar ni kukosekana kwa viwanja maalumu vya mchezo huo ingawa

kuna mwamko wa jamii kushiriki na kuupenda mchezo huo huku akiishukuru Serikali chini ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuanza ujenzi wa viwanja mbalimbali na hamasa kubwa ya kuinua sekta ya michezo.

Ametoa wito kwa jamii na wahisani kusaidia kukuza mchezo huo wa Hockey hususan timu za majeshi Zanzibar kutoa wachezaji ambao watashiriki katika timu za wanawake za Hockey.

Kipa timu hiyo ya Royal Queens , Idaya Hassan, amesema mazoezi hayo ya pamoja yaliyofanyika katika viwanja vya JMK Youth Park, jijini Dar es Salaam, yamekuwa na ufanisi na yamesaidia wachezaji wa timu yake kujinoa kikamilifu.

Mratibu wa mchezo wa Hockey katika shule za Tanzania Bara , Elieza Mwankemwa, amesema mazoezi hayo ya wiki moja yameambatana na mafunzo mbalimbali kuiimnarisha timu hiyo ya wanawake kwani Zanzibar ilikuwa na timu nyingi za wanaume.









Wapenzi wa burudani za kasino mtandaoni, safari ya msisimko imepanda kiwango kingine baada ya Meridian Bonanza kuendelea kuwasha moto Meridianbet. Mchezo huu umebeba ladha ya kipekee, ukiwaletea wachezaji mazingira yenye mvuto, mwonekano wa kisasa na sauti zinazoongeza hamasa kila unapofanya mzunguko. Kwa anayependa michezo yenye kasi, burudani na uwezekano wa kupata zawadi, Meridian Bonanza imekuja ikiwa tayari kutoa uzoefu tofauti na wa kuvutia zaidi.

Kinachoufanya mchezo huu uzidi kuvutia ni muundo wake rahisi unaomruhusu mchezaji kuingia moja kwa moja kwenye burudani bila mizunguko mirefu ya kujifunza namna ya kucheza. Meridian Bonanza imeboreshwa kwa vipengele vinavyoweza kuongeza msisimko wakati wa mchezo, huku kila mzunguko ukiwa na nafasi ya kuleta matokeo tofauti. Kutoka kwenye muonekano hadi namna alama zinavyojitokeza, kila kitu kimeandaliwa kuifanya safari ya mchezo kuwa yenye burudani na kusisimua zaidi.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Moja ya vipengele vinavyovutia macho ni Ante Bet, ambacho kinampa mchezaji nafasi ya kuongeza dau na kufungua njia ya kupata mizunguko ya bure. Kwa kuchagua kizidishi cha x20, mchezaji anaweza kuingia kwenye mizunguko ya bure hadi mara 100, jambo linaloongeza zaidi matarajio na msisimko ndani ya mchezo. Hapo ndipo Meridian Bonanza inapobadilisha kila mzunguko kuwa tukio la kusubiri kwa hamu kuona nini kitafuata.

Na bado safari haijaishia hapo. Kupitia kipengele cha Tumble, alama zinazotoa ushindi huondolewa na nafasi yake kuchukuliwa na alama nyingine, hivyo mchezaji anaweza kupata mfululizo wa ushindi ndani ya mzunguko mmoja hadi pale mfululizo huo unapokamilika. Zaidi ya hapo, ukifanikiwa kukutana na alama maalumu ya Scatter, unazawadiwa mizunguko 10 ya bure, huku mizunguko hiyo ikiwa na nafasi ya kufikia kizidishi cha hadi X100. Hii ndiyo ladha inayofanya Meridian Bonanza kuendelea kuwa kivutio kwa mashabiki wa kasino mtandaoni.

Kwa hiyo, kama unatafuta burudani yenye kasi, vipengele vya kusisimua na uzoefu mpya wa kasino mtandaoni, Meridian Bonanza iko tayari kukupa dakika za burudani zisizosahaulika. Jisajili Meridianbet leo, ingia kwenye mchezo na uone kila mzunguko unavyoweza kuleta burudani mpya.

Leo Jumanne, tarehe 1 Septemba 2026, saa 21:45, uwanja wa Volksparkstadion jijini Hamburg utakuwa jukwaa la mechi ya raundi ya kwanza ya Kombe la DFB kati ya HEBC Hamburg na Borussia Dortmund. Hii ni mechi ya kihistoria kwa klabu ya HEBC, ambayo haijashiriki mashindano ya Kombe la Ujerumani tangu mwaka 1935 miaka 91 iliyopita.

HEBC Hamburg ni klabu ndogo inayochezea ligi ya tano ya Ujerumani, Oberliga Hamburg. Wamefika raundi hii kwa kushinda Kombe la Mkoa wa Hamburg (Hamburger Pokal), jambo lililowawezesha kukutana na timu kubwa ya ligi kuu. Kwa sababu uwanja wao wa nyumbani hubeba mashabiki wachache tu kwa kawaida, mechi hii ililazimika kuhamishiwa Volksparkstadion.

Kwa upande wa Dortmund, msimu unaanza kwa ratiba ngumu na mikutano miwili mfululizo dhidi ya timu za Hamburg. Baada ya kuanza msimu wa Bundesliga kwa kuipokea HSV, sasa Kombe linawapeleka Volksparkstadion kukutana na HEBC, timu ya Oberliga. Chochote kisichokuwa ushindi wa Dortmund kingekuwa mshangao mkubwa, hasa ikizingatiwa kwamba timu ya kocha Niko Kovac, licha ya maandalizi magumu ya awali, imekuwa katika hali nzuri hivi karibuni.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kabla ya mechi hii, Dortmund ilionyesha nguvu zake za msimu mpya kwa kuanza kampeni ya Bundesliga kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya Hamburger SV nyumbani. Aidha, timu hiyo ilikuwa na maandalizi ya kuvutia msimu wa kiangazi baada ya kufunga msimu uliopita katika nafasi ya pili ya Bundesliga, mabao 16 nyuma ya mabingwa Bayern Munich. Hata hivyo, Dortmund ilipoteza fainali ya Supercup ya Franz Beckenbauer kwa mabao 2-1 dhidi ya wapinzani wao wakubwa, Bayern Munich, tarehe 22 Agosti.

Kihistoria mechi hii ni ya kipekee kwa sababu HEBC Hamburg na Borussia Dortmund hazijawahi kukutana hapo awali, hivyo leo itakuwa mwanzo wa rekodi yao ya ana kwa ana. Ingawa kitaalamu nafasi ya HEBC kuendelea mbele ni ndogo sana dhidi ya jitu la Bundesliga, usiku huu utabaki kuwa historia kwa wachezaji wa Eimsbüttel kutoka viwanja vya udongo na mashabiki wachache, hadi mwanga wa fluji na viti 57,000 vya Volksparkstadion. Huu ndio uzuri wa Kombe la DFB fursa ya wasiokuwa na jina kukutana na mabingwa, hata kama kwa jioni moja tu.