Wanawake wa kijiji cha Nsunga Missenye wakimpa zawadi mke wa Makamu wa Rais Mama Mwanamwema Shein, wakati walipotembelea kijiji hicho kwa ajili ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo ya wananchi
Makamu wa Rais akikagua shamba la migomba kijiji cha Missenyi
Makamu wa Rais akiijaribu ngoma ambayo pamoja na baraghashia alipewa zawdi kijijni hapo
akisalimiana na mtoto aliyekuwa miongoni mwa mamia ya wakazi wa missenyi waliokuja kumpokea


Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakiangalia mitambo ya kumwagilia maji katika mashamba ya miwa ya kiwanda cha Sukari Kagera wakati walipotembelea mashamba hayo kwa ajili ya kukaguwa kilimo cha umwagiliaji. Makamu wa Rais yupo Mkoa wa Kagera kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo ya wananchi





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. KWANINI VIONGOZI WETU HUWA WANAPENDA KUONEKANA KUWA NI WANACCM ZAIDI KULIKO VIONGOZI WA WATANZANIA WOTE?

    ReplyDelete
  2. HIYO KOFIA NI YA MZEE SMALL RAFIKI YAKE MAJUTO MBONA MNAMPA MAKAMU WA RAISI NYIE WASHOMIRE?? TEH TEH TEH!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Hiyo sio baraghashia bali ni kitunga.Uliza wataalamu wa pwani wacha kubandika usikokijua.

    ReplyDelete
  4. inaitwa kofia ya TARBUSH acha kupotosha kizazi kipya kitunga cha sokoni mshikaji

    ReplyDelete
  5. Kwa nini mitambo kama hii ya kumwagilia isiwekwe katika kila vijiji vinakopitiwa na mito ili kuwawezesha wakulima kulima kwa umwagiliaji na kuondokana na njaa???????????????????????

    ReplyDelete
  6. hii kofia ni kivazi cha wazanzibari wa zamani hongera mheshimiwa.

    ReplyDelete
  7. Tena wazanzibari hao ni askari ambao wakivaa kombati/magwanda yao ya kaptura na kirungu wanawekelea hiyo tarabushi inakuwa mujarab kweeeli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...