Bw. Mrisho Senga Mlela wa London UK, anasikitika kuwatangazia kifo cha mwanawe Ahmed Mrisho Senga (pichani) kilichotokea ghafla huko Switzerland. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es Salaam Tanzania kwa mazishi inafanyika.

Familia imetoa maelekezo ya yoyote atakayependelea kutoa mchango wake ili mwili wa marehemu uweze kufikishwa nyumbani kutoka Switzerland watumie akaunti ifuatayo ya familia ya marehemu.

Michango iwekwe kwenye A/C: 12176968, SORT CODE: 30-93-61, LLOYDS TSB BANK.

Kamati ya maandalizi inaongozwa na:
Bw Mrisho Senga: 07536477586
Bw Fadhili Karanja: 07424064084
Bw Ally Sungura: 07405595831
Bw Issa Kibira: 07828198578

Familia, ndugu na jamaa inatanguliza shukran za dhati.

Ahsanteni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Didah SengaOctober 24, 2011

    RIP KAKA YANGU.... WE WILL ALWAYS LOVE YOU.
    INSHALLAH MWENYEZI MUNGU AKUPE KAULI THABIT,AMIN.

    ReplyDelete
  2. inna lilah waina ilaih rajiun...ndugu yetu umetutoka mungu akulaze pema peponi ameen

    huyu bwana hatujaonana kama miaka 15 sasa kutokana na pilika za kimaisha ama kweli dunia tunapita njia mwenzetu katangulia nasi tunafata.

    poleni sana ndugu wa marehemu huu msiba ni wetu wote

    ReplyDelete
  3. sasaunasema hamjaonana halafu unaweka annon....RIP

    ReplyDelete
  4. inna lilah waina ilaih rajiun
    Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Tutarejea.

    Pole sana uncle Mrisho Senga.

    Hizi namba mbona hazifanyikazi, kulikoni!?

    Bw Mrisho Senga: 07536477586
    Bw Fadhili Karanja: 07424064084
    Bw Issa Kibira: 07828198578

    Babuu

    ReplyDelete
  5. Isaac KibiraOctober 25, 2011

    R.I.P Dearest Cousin, U Will Be Deeply Missed!God Give Us Strength In These Darkest Hours, Deepest Despair!! AMEEN!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...