Bw. Mrisho Senga Mlela wa London UK, anasikitika kuwatangazia kifo cha mwanawe Ahmed Mrisho Senga (pichani) kilichotokea ghafla huko Switzerland. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es Salaam Tanzania kwa mazishi inafanyika.
Familia imetoa maelekezo ya yoyote atakayependelea kutoa mchango wake ili mwili wa marehemu uweze kufikishwa nyumbani kutoka Switzerland watumie akaunti ifuatayo ya familia ya marehemu.
Michango iwekwe kwenye A/C: 12176968, SORT CODE: 30-93-61, LLOYDS TSB BANK.
Kamati ya maandalizi inaongozwa na:
Bw Mrisho Senga: 07536477586
Bw Fadhili Karanja: 07424064084
Bw Ally Sungura: 07405595831
Bw Issa Kibira: 07828198578
Ahsanteni.
RIP KAKA YANGU.... WE WILL ALWAYS LOVE YOU.
ReplyDeleteINSHALLAH MWENYEZI MUNGU AKUPE KAULI THABIT,AMIN.
inna lilah waina ilaih rajiun...ndugu yetu umetutoka mungu akulaze pema peponi ameen
ReplyDeletehuyu bwana hatujaonana kama miaka 15 sasa kutokana na pilika za kimaisha ama kweli dunia tunapita njia mwenzetu katangulia nasi tunafata.
poleni sana ndugu wa marehemu huu msiba ni wetu wote
sasaunasema hamjaonana halafu unaweka annon....RIP
ReplyDeleteinna lilah waina ilaih rajiun
ReplyDeleteHakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake Tutarejea.
Pole sana uncle Mrisho Senga.
Hizi namba mbona hazifanyikazi, kulikoni!?
Bw Mrisho Senga: 07536477586
Bw Fadhili Karanja: 07424064084
Bw Issa Kibira: 07828198578
Babuu
R.I.P Dearest Cousin, U Will Be Deeply Missed!God Give Us Strength In These Darkest Hours, Deepest Despair!! AMEEN!
ReplyDelete