Siku ya Jumapili 26.08.2012 katika maonyesho ya Alafia Festival,mjini Hamburg, Kulivamiwa na kikosi cha Ngoma Afrika band aka FFU,bendi hiyo maarufu  ya muziki wa dansi barani ulaya ilikua na kazi moja tu ya kuwadatisha akili washabiiki  katika onyesho la Alafia mjini hamburg! 
Ambapo washabiki walijikuta wakidatishwa akili na mdundo wa FFU.
Ngoma Africa band wanashikilia Tuzo ya kimataifa ya IDA-International Diaspora Award, pia wanatanba na CD mpya Bongo Tambarare, wasikilize at www.ngoma-africa.com


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ffu kazi hipo,naona mmehamua kufanya kweli, virungu mtindo moja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...