Mwanangu Alihassan (6) akitoka kupokea zawadi ya kufanya vizuri darasani (std II) St. Patrick's Academy, Arusha. Sijui nae atakuwa mpiga picha ama ataendelea kuwa wa tano bora katika masomo hadi chuo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. great photo. Especially the colors

    ReplyDelete
  2. http://billpowers.myblogsite.com/

    ReplyDelete
  3. Michuzi, hongera sana. Mkazania aendeleze juhudi hizo mpaka chuo kikuu.

    ReplyDelete
  4. Dalili zinaonyesha kinchwani ametulia, matatizo huanza pale anapoanza kujichanganya na dunia miaka 10 ijayo, cha muhimu hapo ni kuwa naye sambamba sasa hivi, mpangie mfumo wa kupenda kusoma, binafsi napenda mfumo aliopangiwa Oprah Winfrey na baba yake kwamba kila wiki ni lazima awe amemaliza kusoma kitabu alichopewa na kuwakilisha muhtasari wake, na kila siku ni lazima alete misamiati mitano mipya kwa baba yake kabla ya kula, vinginevyo analala njaa. Michezo ni muhimu pia kwa watoto, lakini kumuandaa pia ni muhimu na lazima, hivyo ukimpangia mtoto ratiba nzuri ya kusoma na kutokumpa nafasi ya kwenda kucheza kabla ya kumaliza kitabu ulichompa itamweka mtoto katika mstari na utaona matokeo yake. Samaki mkunje.....mkazanie.

    ReplyDelete
  5. Naona mkuu,mambo sio mabaya Mzee mzima Kikwete ana kasungura kake kanasoma hapo sio?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...