Home
Unlabelled
neshno stediumu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi ulikuwa mbaya zaidi ya sasa? Mbona naona bado hoi?
ReplyDeleteJukwaa la watoto wangu wa msimbazi naliona... naomba wawe wanamwagilia maji hizo nyasi, kiangazi naona kimeshaingia.
ReplyDeleteUwanja huu umetengeneza mapesa mengi kupitia kandanda kuanzia ligi kuu mpaka michezo ya kimataifa kama kombe la wasindi na klabu bingwa ya Afrika. Lakini mapesa haya hayakutengwa kukidumisha kiwanja hichi. Tusivyo na haya wala aibu tunautumia uwanja huu kwa michezo ya kimataifa na pia tunautumia uwanja huu kwa shughuli za kitaifa kama magwaride ya Muungano na Uhuru ambapo huwa tunawaalika viongozi na mabalozi wa nchi za nje kuja kujionea uwanja wetu wa Taifa.
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania,
F MtiMkubwa Tungaraza.
Mwandani: kumbe wewe rangi nyekundu sio? Siku hizi mmekwisha kabisa.
ReplyDeleteNami nazionea huruma nyasi hizo. Zinaonyesha zina kiu hasa.
Na mimi naliona jukwaa la mabingwa wa sasa wa ligi "Wanjano wa Jangwani"
ReplyDelete