Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
unajua mie sielewei. hivi kwenda kusikiliza matokeo kuna wengine walipewa kadi na wengine hawakupewa? nilisoma mgombea wa NCCr alilalamika angeendaje wakati hakualikwa? kama kulikuwa na upendeleo basi jaji makame awajibike - asilete za kuletwa, kuchafua reputation ya vyama vya watu.
ReplyDeleteJaji Makame mbona ameishawajibishwa!! kutomualika Mrema amemwaga unga kuna jaji mpya ameapishwa!! Doooooooo!!!!
ReplyDeleteakhsante sana Sina Said! hilo mimi sikulijua! je ni nani alimuwajibisha? ilikuwaje kuwaje? nani alifungua malalamiko? na ni nani jaji mpya? ni nani alimusimika? - tafadhali naomba updates!
ReplyDelete