
Marais wastaafu wa awamu ya pili na tatu Alhaj Ali Hassan Mwinyi a.k.a Mzee Ruksa na Benjamin William Mkapa (hana a.k.a) wakiwa na kitinda mimba wa Ikulu Jakaya Mrisho Kikwete. Bongo ni nchi pekee yenye marais wastaafu hai wawili ambao wote wanaweza kutabasamu na rais mpya bila tatizo. Au ipo? Naomba nipashwe kama ipo nchi kama hiyo.
Michuzi Marekani ina maraisi wastaafu kibao ambao wanakaa na kucheka na kuvuta fegi na kunywa mvinyo pamoja, sio kwa ghiliba au unafiki ila kutoka moyoni mwao. Tena ni wa vyama vya siasa tofauti. Mfano Bill Clinton na Bush baba wankaenjioo ka maafa walikokaanzisha wakati wa Kimbunga Katrina. Hivi Mandela na De Clark hawaivi? Sijui.
ReplyDeleteFor this, I beg to differ.
You beg to differ cos ur so americanized, bruther. i asked for an African country, not ughaibuni. asee! Utikupilika?
ReplyDeleteMichuzi usimjie juu Mwaipopo, kwenye maelezo yako hukusema Afrika pekee.
ReplyDeleteGawe.
Basi ishieni hapo hapo.Isije kuwa kama yale ya mabishano kuhusu gari,suti aliyovaa mgombea wa chama chetu,spika na microphone za chama chetu nk.
ReplyDeleteasante jeff kwa kunilinda. jamaa wakali haooo...acha!
ReplyDeletekaka michuzi,
ReplyDeletekupokezana madaraka ni jambo moja, kujenga nchi na kuleta maendeleo ni jambo lingine! cha msingi ni kuwa, je umasikini umepungua au umeongezeka?? tukichora chati mshuko (slope) utakuwa hasi au chanya?.
tunashukuru sana bwana michuzi kwa updates! munguy akubariki!
Hivi hapo nyum aya flat screen ni mikuki au?????
ReplyDeleteWizi mtupu, calculate pension na marupurupu yao, bora awepo mstaafu mmoja sio marais watatu soon, mawziri wakuu kibao, makam wa rais kibao, sijui waziri kiongozi kibao wanaokataa nyumba za mawaziri wanakaa hotelin etct etc etc, eti nchi maskini
ReplyDeleteTokea enzi za wazee wetu mpaka sasa sisi ni watu wazima,chama ni hicho hicho na miswada ni hiyo hiyo, MAAFA NA DHULUMA KIBAO ZIMEPITA WAKATI KILA MTU ANAFUNGA MACHO, HAO WAZEE WALIOPITA HAWAYAONI HAYA YA MAFISADI NA KUMSHAURI BWAMDOGO WAO LA KUFANYA? LAKINI WATASEMA NINI WAKATI WAKIANGALIA WAO NDIO YALEYALE...AHHH WASICHEKE NA KULA KILAJI PAMOJA???,
ReplyDeleteIKIWA UTAWALA WENYEWE NI KAMA MBIO ZA KUPOKEZANA VIJITI,
MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU MAANA MBALI YA YOTE WAMELITUMIKIA TAIFA NA LA MUHIMU WAMEWEZA KULINDA NCHI NA KUENDELEA KUSAMBAZA AMANI KWA WANANCHI WAO....
MDAU NUTRO