wanamitindo wakionesha mavazi ya kiutamaduni kwenye shindano la miss tourism

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. huyo ngedere kafanana na hao mabintimaringo

    ReplyDelete
  2. Huku sasa ni kukiuka utu wa mtu unawezaje kumfananisha ngedere na hao mabinti ambao jamaa yetu kawaita bint maringo kuna haja ya kuwekana sawa katika hili

    ReplyDelete
  3. Hivi suala la haki za wanyama halipo hapo tena? Hapo ni ukumbini katika mashindano wanyama pori wanafata nini. Sheria ya utalii inazungumzaje siku hizi.

    ReplyDelete
  4. Jamani, mimi ninarudia tena hivi kweli sheria ya kuwarinda wanyapoli inafaa kule au wamebadilisha mtindo!Hao mabinti wanashindania nini kwanza?Huyo ni mtindo mwingine jamaa mawaziri wameunda ili kula pesa za kujiendeleza nchini.Ingekua bora wakawasomeshe hivo vimwana kuliko kuwadhalilisha hivo!!!!Think twice wahusika!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...