jk akiwa na mkuu wa itifaki cisco mtiro ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. overated president ever

    ReplyDelete
  2. Sisco sijui Cisco kwani kaacha kuvaa kihereni siku hizii? Na sijajua kwani magazeti ya Bongo yameacha kumchora na kihereni? Au sasa hivi wakimchora Magazeti yatafungiwa (Maana kashakuwa sio mwenzao wa kumtania tena)

    ReplyDelete
  3. anawakilisha kizazi kipya ikulu...hii inatia matumaini! wakati kizazi cha zamani kinagombania utawala kwa gharama yoyote ikibidi kuvunja kanuni na kuua, nadhani hiki kitapigania kubaki madarakani kwa ushawishi na utekelezaji wa ilani na sio kuua na kuiba kura! mungu awajalie!

    ReplyDelete
  4. Washikaji wakiuziana nyeti za Saigoni na show za jana yake kwa JK sasa yuko kwenye kioo hivyo hawezi zuka tena kijiweni ila brother Cisco hatokuwa na hiana ya kumuuzia nyeti za nani zaidi kwenye vilinge kule Migo na maeneo ya tabata na hata shambani kwa sharrif

    ReplyDelete
  5. anony, kama ulikuwa akilini kwangu, cisco anatumia hicho kidistance kummegea mkuu za juu kwa juu...na mzee anainjoi kichizi kama sisi hapa tunavyodondosha maudenda tukikumbuka kiti moto na kili!!!du sijui tutarudi lini homu.....any way hizo ni indivijo za mtu cha muhimu WAPIGE MZIGO!!! GOD BLESS

    ReplyDelete
  6. nilishau, tena kili ya briiiidiii!!kiti moto lazima kiwe na tango bichiiii??? na pili pili mburu!!! kwa ugali, saa saba mchana pale sabasaba....mtumeeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...