wana bongoflava king crazy gk (shoto) na o ten wakichill....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. maselebriti wetu kaa wezi,hawachani hata nywele.

    ReplyDelete
  2. Michuzi mwambie Kichaa GK atoke na staili yake, mambo ya kumuiga DMX aache.

    ReplyDelete
  3. Watu wanatakiwa waangalie hata meno ya kuanika nje

    ReplyDelete
  4. "itikadi zetu ni ku make mo m£ney! make mo money..."
    gk " kwa panga au kwa kushoka, mkuk au bunduki....."
    bomba sana more bongo flava pics plz

    ReplyDelete
  5. kaka michuzi rai yangu mimi ni kwamba haya mambo yamepita muda wake , maana naamini kwamba ilikuwa ya siku nyingi..........mie nina swali.

    '.....HIVI HUYU WA PEMBENI MWA GK NI KISAMVU KWELI,YAANI WATU WANATWANGA AU NI MANENO YA WATU...'

    ReplyDelete
  6. kaka michuzi rai yangu mimi ni kwamba haya mambo yamepita muda wake , maana naamini kwamba ilikuwa ya siku nyingi..........mie nina swali.

    '.....HIVI HUYU WA PEMBENI MWA GK NI KISAMVU KWELI,YAANI WATU WANATWANGA AU NI MANENO YA WATU...'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...