panapokuwepo wakuu wengi wa nchi kwa pamoja huwa shida kupata picha kwa utulivu na ustadi, labda utumie akili za ziada

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi wenzio walipokuwa wakihangaika pale mbele kufotoa wewe ulikuwa umejibanza wapi hata ukaona uchukue hii ambayo wazee wenyewe wanaonekana viduchu. Hata hivyo pongezi kwa kuwa mbunifu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2006

    aaah! Nyie si mnatumia Kamera,mgetumia Darubini naona mgeweza kuwachabo fresh.Kwa maelezo zaidi muone Badi Bakule,yeye ni mtaalamu wa darubini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...