Home
Unlabelled
ben na anna
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wamependeza hao
ReplyDeleteMmh!..Baba wa aina hii huwa hatabiriki, hapo mtoto lazima uwe umejiandaa kwa lolote wakati wote.
ReplyDeleteKumbe Beni amemfuanana na meneja masoko wa wiraya ya murreba!
ReplyDeletetamu sana!! ila anawaza hizi fumua fumua za Jk washikaji itakuwaje?
ReplyDeletealianza kama kikwete tu, "uwazi na ukweli" tume ya warioba(rushwa)nk. baadae akachoka na tena wala hakutaka tena kuzungumzia kuhusu tume ya warioba.Ben waghaibu wanamkubali sana,amejitahidi sana anastahili kupewa sifa kadhaa.JK na "nguvu mpya ari mpya" tunasubiri ni mapema mno, ila naye atakuwa kama brazaake Ben baadae? atachoka? au baadae itakuwa "Ruksa" mafanikio mema mtukufu rais. jamjuah
ReplyDeleteWewe achana na JK hii nguvu bwana uliona wapi tume inapewa siku na mara baada ya kutoa ripoti kesho yake majibu yanawafikia raia. Huyu ndiye JK rais wa wananchi anayetaka kuigeuza nchi yetu iwe ya wananchi wa chini na sio Ben bwana mwacheni aende tu mzee huyu wa Tax return
ReplyDeleteTatizo si tume wala nini, Jamjuah ana hoja. Ben alianza hivyo hivyo matokeo yake sote tunajua. Kwanza Kikwete hakutakiwa kuunda tume, wale walitakiwa kufikishwa mahakamani period. Mwendesha mashataka ndio angeita hao waliohojiwa na tume. Huo ulikuwa ubadhirifu wa pesa ya walipa kodi.
ReplyDeleteila Beni alikuywa hataki kukosolewa! ukimwambia serekalini kuna rushwa alikuwa hataki kukubali! Mtikila naye anafikiria kufile ngoma The Hague kwa ajili ya kuua wapemba! - madaraka si kitu cha kuchekelea wala kuchezea! unaweza ukaishia lupango mida ya uzeeni!
ReplyDeleteJk naye anaonekana anabeat around the bush...ndani ya miezi 6 iliyopita maraisi wawili (Afrika kusini na Malawi)wamewakung'uta makamu wa raisi itakuwa Omari?
JOJINA,JOJINA UMEONDOKA JOJINA........
ReplyDeleteDuh! Kumbe anko Ben naye anayaweza?
ReplyDelete