Home
Unlabelled
kina migiro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hapo safi...hakuna ubabaishaji. halafu JK kacheza poa. huyo mama ana kazi ya kukuza uchumi wa taifa (economic diplomacy) na huyo mzee ana kitengo maalumu kinachoweza kuhakikisha ubora wa bidhaa zetu ziuzike nje tufauduke walau...mfano ng'ombe milioni 14 anaopiga nao kelele JK...namna hiyo humo ndani itakuwa hakuna kulala ni kazi tu! na inaruhusiwa!
ReplyDeleteAsha-Rose naye kumbe akipaka wanja wamo.
ReplyDeleteJapokuwa msomi lakini atazingatia mahusiano mazuri na wafadhili na kutusaidia maana tunakufa njaa
ReplyDeletehii wizara rahisi kabisa hapo bongo tena hata ingewekwa chini ya office ya Raisi au PM,, angepewa mambo ya ndani ndio ingemfaa., huyu prof ndie anayeruhusu bidhaa fake kama utitiri,, ila wamekula bonge la pose!
ReplyDelete