Home
Unlabelled
mabibo hostel
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi viongozi wetu wa juu na hasa fulani wameacha kwenda kuchukua totoz kule na kutudhulumu sisi tulio na haki ya msingi.Pesa na nyadifa zao zatumika kuharibu totoz za Mabibo.
ReplyDeleteMust yaelekea wanifahamu sana tu ndugu yangu. Hebu tukumbushane ndugu yangu
ReplyDeletejamani michuzi fuata nyayo za mwaipopo kwa jinsi anavyokubali kukosolewa.
ReplyDeleteNa wewe mwaipopo fafanua zaidi juu ya haki za msingi.
Mwaipopo huyo Must ni Mustapha yaani sasa umemsahau. Kiliki hapo kwenye jina lake kisha uingie kwenye hotspot. Lakini vipi kuhusu hao vigogo mbona huwataji au niseme wako karibu na JK
ReplyDeletehosteli nzuri mkimaliza kazi hakuna hivyo mkae kwa adabu kweli na licha ya kuwa kazi hakuna na jitihada za serikali hazipo vilevile isipokuwa siku wakitaka uhame ndo utajua serikali iko wapi
ReplyDeletenimefurahi sana jinsi must na mwaipopo walivyokutana juu kwa juu...haya kwa kweli ni mapinduzi ya blogu...kuna miaka simingi ijayo utakuta darasa lako zima la tangu shule ya msingi liko huku globuni na kila mtu kapitia njia yake...nadhani pia hata mgombea urahisi na wawasiri tutawapata humu humu kwani agenda na uwezo wa watu tutakuwa tunaufahamu longi time....naamini kabisa tukiendelea hivi ndani ya miaka 20 ijayo, urahisi au ubunge hautasababisha mtu afe, na halitakuwa suala la kubahatisha tena!!!tunashukuru michuzi kutengeneza point muhimu ya makutano....michuzi, nakushauri mbongo ina uwezo wa kukua na kua gazeti moja pepe kali sana..kazeni buti
ReplyDeleteHivi kweli hamna mjanja anayeweza kujenga vitofa kama hivyo na kuwapangisha watu hata kwa 50,000 kwa mwezi apartments za vyumba viwili? Hapo yani tofauti kubwa sana kati ya hostel hizo nadhifu na nyumba za jirani mpaka inatia aibu.
ReplyDelete