Home
Unlabelled
mambo niaje?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Brother Michuzi si unaona watu wanavyotafuta safari? Sio masihara kidogo.
ReplyDeleteDennis
Na kweli, hapo hakuna penzi kabisaaa! ni safari tu.
ReplyDeleteNilifikiri mambo haya yanatokea Gambia peke yake(magambia wamechanjia kwa mchezo huu).
ReplyDeleteKumbe hata siye tumefunga tela.
-Tunga
Michuzi sikuwezi. Hii kali
ReplyDeleteNaona mchizi anatafuta ticket ya kuingia mtoni na hilo tenki.
ReplyDeleteanony umeninifurahisha! ni kama hapa sauzi watu wanastrago kuoa wanawake wa kizauzi ili walambe uraia! basi wanawake wa sauzi wanapanda chati kama huyo mama anayeangalia juu - wakifurahia ladha ya utaifa kubwa! ngoja tu tukaze buti ipo siku dada zetu nao watapanda chati tu!! au unasemaje Da Mija?
ReplyDelete