Home
Unlabelled
no smoking
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa kwani walishindwa kumwambia polepole?..aagh!
ReplyDeleteHii ni ukiukwaji wa haki za binadamu ktk nchi nyingi za kiafrika na zingine zinazo endelea.
ReplyDeleteUmeona jinsi wanajeshi wa Uingereza walivyo kamatwa na kushitakiwa kwa kufanya mambo kama haya nchini Iraq angalia http://www.sky.com/skynews/picture_gallery/picture_gallery/0,,30000-1212398,00.html
au
http://www.sky.com/skynews/article/0,,30000-1212390,00.html
au http://www.newsoftheworld.co.uk/story_pages/news/news1.shtml
au http://www.newsoftheworld.co.uk/story_pages/news/news2.shtml
Ni vizuri kwa nchi zetu kuiga mfano na kuacha kunyanyasa watu.Ndio ni mualifu iwe mwizi, Kibaka ama jambazi lakini naye huyu mtu ana haki zake kama raia na sio kumbuluza namna hii.
Ingekuwa ni vizuri kwa Serikali kutoa elimu ya bure kwa vyanzo vyetu vya ulinzi jinsi ya kukabiliana na mambo kama haya, Maana hii haina tofauti na kumbuluza mbuzi kwenda machinjoni,
Sio siri ina kera sana.
Haya ni maoni yangu binafsi,
MK
Hii ni ukiukwaji wa haki za binadamu ktk nchi nyingi za kiafrika na zingine zinazo endelea.
ReplyDeleteUmeona jinsi wanajeshi wa Uingereza walivyo kamatwa na kushitakiwa kwa kufanya mambo kama haya nchini Iraq angalia:
skynews1
au
skynews2
au News of the world1
au
News of the world2
Ni vizuri kwa nchi zetu kuiga mfano na kuacha kunyanyasa watu.Ndio ni mualifu iwe mwizi, Kibaka ama jambazi lakini naye huyu mtu ana haki zake kama raia na sio kumbuluza namna hii.
Ingekuwa ni vizuri kwa Serikali kutoa elimu ya bure kwa vyanzo vyetu vya ulinzi jinsi ya kukabiliana na mambo kama haya, Maana hii haina tofauti na kumbuluza mbuzi kwenda machinjoni,
Sio siri ina kera sana.
Haya ni maoni yangu binafsi,
MK
KWA NINI WANAMTESA MTU ANAPOJIPATIA BURUDANI?
ReplyDeleteMichuzi kiluga cha "No Smoking" kimeniacha hoi.
ReplyDeleteWanatumia nguvu nyingi mnoo kwa mambo yasiyo ya lazima kwenye mambo ya lazima wanashindwa.
ReplyDeletena huyo mwananchi mungine Mpiganjira ah ni Mpita njia hakui aanzie wapi lakini sidhani kama anafanana na wale kwenye igizo la mchina kumbonda mbongo hati kufa la Da mija na Tunga!
ReplyDelete