waziri mkuu wa sweden olof palme akiwa na mwalimu na mkapa na salim ikulu dar. je waweza sema ilikuwa mwaka gani? na je wakumbuka palme alipigwa risasi na kufa lini. nilipokuwa stockholm nilipita sehemu aliyopigiwa shaba, mti ikumbushe jina la mtaa. natafuta picha lilopiga pale.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hiyo picha ya waziri mkuu wa sweden bwana Sven Olof Joachim Palme (30 January 1927 – 28 February1986) ilipigwa 03rd September 1984 Ikulu. Alikufa tarehe 28 February1986 ktk mitaa ya central Stockholm street Sveavagen.

    Habari zaidi kuhusu picha za mahali alipo kufa ama kuzikwa waweza mkazipata kupitia http://en.wikipedia.org/wiki/Olof_Palme#Assassination


    Nashukuru,

    MK

    ReplyDelete
  2. Hiyo picha ya waziri mkuu wa sweden bwana Sven Olof Joachim Palme (30 January 1927 – 28 February1986) ilipigwa 03rd September 1984 Ikulu.

    Tarehe 28 February 1986 alipigwa risasi ktk mitaa ya central Stockholm street Sveavagen walipokuwa ktk matembezi ya kawaida wakitokea cinema yeye na mkewe, Alipigwa risasi mara mbili ktk sehemu ya tumbo pia mkewe alipigwa nyuma mgongoni na hiyo ilikuwa mida ya 2330pm ktk mida ya Sweden na Alikufa alipofikishwa hopsitalini siku hiyo hiyo ya Ijumaa tarehe 28 February1986.

    Mkewe alitibiwa na kupona. Kupigwa risasi kwa waziri huyu ilitokana na kuwa mara nyingi yeye upenda kutembea bila ya bodyguards(Walinzi)

    Habari zaidi kuhusu picha za mahali alipo kufa ama kuzikwa waweza mkazipata kupitia http://en.wikipedia.org/wiki/Olof_Palme#Assassination


    Nashukuru,

    MK

    ReplyDelete
  3. Mambo ya socialism and self reliance naona vijana wa chama (salim A Salim na Ben Mkapa) wote wamekula chong lay hakuna mchezo nadhani ndo zile enzi zale ukininga suti basi wewe bepari fulani

    ReplyDelete
  4. hao vijana walitaka kukariri kukabidhiana madaraka na kugeuza ikulu pa kustaafia...duh lakini beni aliipigisha ngoma bonge la u turn....tunashukuru lakini kutupa JK japo alichekea rushwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...