Home
Unlabelled
olomide
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Papa Michuzi umepozi na wanene wengi sana bila shaka unaweka hizi picha kwenye maktaba yako,Papa hivi ile Airport ya Mbeya imekwisha au ndo kwanza inajengwa naona sielewi kama una photo zake tuwekee tuone
ReplyDeleteAnony umenigusa sehemu ambazo huwa-ga siguswi mara kwa mara. Michuzi huishia Dar, Zanzibar, Dodoma. Halafu akiwa na assignment Butiama, Kigoma. Sio kosa lake. Nasisitiza sio yeye bali ni hao wanaompangia kazi. Wamtume Mbeya kuna nini. Mbeya ni sehemu ya kwenda kuchukua kura tu basi. Halafu tutaonana baada ya miaka mitano. Tena kwa miaka 10 ilikuwa ni sehemu ya kupeleka wakuu wa mikoa walioshindwa katika ubunge ili nao 'wajikimu'. Hakukua sehemu kwa kumpeleka mtu serious kama akina Njoolay, Makamba, Mashishanga, Anatoli Tarimo na wengine. Ukuu wa mkoa Mbeya ulikuwa zawadi tu. Umeshasikia jinsi Mramba alivyohodhi ardhi kando ya huo uwanja wa ndege katika miaka yake mi-5 ya ukuu wa mkoa?
ReplyDeleteMabosi wake wasipomtuma au yeye mwenyewe kutotembelea (ingawaje kama mfanyakazi mwingine lazima yuko bize) au asipomuomba mfotoaji yeyote aliyeko Mbeya amtumie, nitawaletea mimi nitakaporejea Mbeya mwezi wa 7.