Home
Unlabelled
taifa stazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kajole pembeeni. Na pita tino anakenyua meno
ReplyDeleteaah, na juma mkambi
ReplyDeletepale namuona mohamedi salim, omari husein, george kulagwa, thuweni ali, peter tino. inawezekana mzizima united lakini siyo taifa stazi
ReplyDeleteHii itakuwa TAIFA STARS na sidhani kama ni Mzizima United kwa sababu Mohamed Salim alikuwa Tanga (Coastal Union), pia namuona Hussein Ngulungu ambaye alikuwa Tumbaku Moro.
ReplyDeleteWazee nawavulia kofia.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeletekuna Thueni Ally yule Mzenji aliye karibu na Tino, pia mwenye Afro ni Geoge Kulagwa "Best", PIA YULE MFUPI ZAIDI YA WOTE NI MOHAMED HUSSEIN
ReplyDeleteHii ni timu ya LA Lakers na hao wachezaji ni Kobe Bryant na Shaquile O'neal
ReplyDeleteMichuzi, unaweza kutupatia picha za siku hizi za wachezaji wa zamani na habari kwa ufupi (waliko na wanafanya nini)?
ReplyDeleteNamuona Machela,Ngulungu,Peter Tino,Mkweche,Saad Ally,
ReplyDeletekajole, simjui, simjui, idrissa ngulungu, juma mkambi, simjui, mohamedd salim, omar hussein, george kulagwa, thuweni ally, peter tino
ReplyDeletehuyo aloshika mpira kama Katwila vile
ReplyDeleteninaowajua, fuata kwa mpangilio kutoka kushoto.....
ReplyDeletemohamed kajole 'machela'
simjui...
simjui...
hussein ngulungu
juma mkambi 'general'
salim amri
mohamed salim
omar hussein 'keegan'
george kulagwa 'best'
thuwein ally
peter tino
simjui...
simjui...
simjui...