Home
Unlabelled
tibaigana huyooo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tumeipata hii tangu jana haya sasa sema anasubiri nini huyo kujiuzuru maana mkoa umemshinda? Yaani anakwenda kwenye tukio baada ya ujambazi na huo umefanyika mchana na fikiri hapo ni jiranbi na kituo cha mabasi na kuna watu nyomi sasa maeneo yasiyo na watu itakuwaje?
ReplyDeleteNimewapenda hao vijana na vicheko vyao.
ReplyDeleteKweli kadunia haka siku hizi kadogo. Habari hii mimi na Bonny tuliipata dakika 30 tu baada ya tukio. Tuliipata kabla hata Michuzi hajafika eneo la tukio( given the traffic congestion in Dar, probably).Aliyetumegea anakaa hapo hapo Ubungo.
ReplyDeleteJamani tufanyeje na ujambazi na njaa kule Bongo. Au tusalie tu hapa Marekani?
Hicho kicheko cha hao nami nimekipenda sana bwana anonimasi
ReplyDeleteKWELI TUTAJIFUNZA LINI KUJIUZULU?
ReplyDeletemimi na hakika huyu jamaa anausika kwa njia moja au nyingine,hao majambazi ni vijana wake anawachora watu tu hapo, pesa imeshaingia.
Huyu mwizi naye lakini nani atamfukuza lakini wakati yeye ndo akiyeshuhudia wizi wa kura na ni kijana wa Kada
ReplyDeleteHuu wote ni usanii tu. Bongo hakuna polisi.Hawana tofauti na mgambo au sungusungu.Jeshi gani hata tukio dogo la vibaka kulishughulikia hadi wahakikishe kwanza wahusika wameondoka eneo la tukio.Au tusema na wao wako kwenye mtandao huo wa majambazi?
ReplyDelete