waziri ally wa njenje band na mgunga mwa mnyenyelwa 'tangulia mwalimu' wa parapanda wakichanga baada ya onesho la kundi la mionzi kwenye ukumbi wa utamaduni wa urusi na tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kinanda cha waziri ally na sauti ya mkewe vinakumbusha-ga mbali sana

    ReplyDelete
  2. hao ni wataalamu bwana. ufanyaji wao wa kazi unafanana na Bebe na mkewe Cece Winans..

    tunapokwenda inaonekana Muziki unakuwa ni kazi kama nyengine! inafurahisha sana!

    ReplyDelete
  3. Swadata Mark,Cha msingi suala la haki miliki liangaliwe kwa Ari mpya na kasi mpya kwani kwani litasaidia kutoa hamasa kwa wanamuziki kuendelea kuifanya vyema kazi yao wakijua wazi kua jasho lao halipotei kama ilivyo kwasasa

    ReplyDelete
  4. Mark,
    Nadhani umekosea kidogo BeBe na CeCe ni mtu na kaka yake hebu wasake tena uone, halafu Vicki Winans ndiye aliyeolewa katika familia hiyo na Marvin Winans.

    Jamani familia hii imebarikiwa uimbaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...