
usijali... tupo kwenye pati ya kuwaaga TID (kulia) na Ray C (katikati) ambao leo usiku wanapanga KLM kuelekea ulaya ambako watakuwa na maonesho kadhaa mjini berlin (march 24) na halafu Athens, kisha Stockholm na brussels. wa kulia ni mwanamitindo fide ilanga na wa pili shoto ni mtangazaji wa channel ten, jina lake nimesahau (nasikia miguno, hamna kitu) kidogo..
Hawa jamaa show yao ilifutwa mara ya kwanza naona sasa hivi wale mapromota wa kubip wameamua wafanye kweli.Angalia web hii kuona ratiba yao (WWW.MZIBO.NET) Na huyo mtoto wa Iranga mbona kanenepa hivi,bado model (sijuhi kama zile nguo zitamtosha tena)...Isaac Mgwasa
ReplyDeletebwana michuzi mbona unatuchanganya? huyo unaesema yuko kulia hayuko kulia yuko kushoto, na unaesema wa pili toka shoto hayuko kushoto yuko kulia, tafadhali usielekeze ukiangalia upande wako wewe kwa sababu upo kwenye picha angalia upande wa msomaji au muangaliaji!!
ReplyDeleteSamahani sana lakini.
Michuzi, denda linakutoka hapo...
ReplyDeleteHuyo demu wa Channel Ten anaitwa Salma Msangi, ana nido kali huyo.
ReplyDeleteTunawatakia kila la heri hao wahusika
ReplyDeletehawa wanabongo fleva, ni wanamuziki wa kweli au ni ukali wa maisha tu, ndio unafnya watu wajiajiri wenyewe? maana ni utitiri siku hizi.
ReplyDeleteHilo lenye nido mimi ndiyo linanimaliza. Sijui kama litakubali kuja huku Kimanzichana.
ReplyDeletehilo linakitambi kaa michuzi ,, haliji huko ng`ooo
ReplyDeleteanony hapo juu umenipa raha nimecheka mpakaaaaa, mchokozi sana wewe. alilala na jamaa mmoja anaitwa ndama mtoto wa ngo... jamaa akamringia siku ya pili yake. likitambi akampigia simu jamaa akamwambia kwanza ujisifie sana umeweza kulala na supermodel.
ReplyDelete