Home
Unlabelled
arooo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Rinaona wameandika NO SMOKING RENYEWE RINAKOJOA, HEBU RIARESTI
ReplyDeleteSasa michuzi hawa waut wataenda kula wapi??? Au serikali imewatafutia sehemu mahalumu?
ReplyDeletekuna sehemu maalum serikali imewatengea lakini wateja hawapo wengi kama katikati ya mji.
ReplyDeleteMasikini chinga wa watu. Anatia huruma jamani. Utakuta mwenyewe kaaga asubuhi kwa mkewe nyumbani anakwenda mzigoni...wandugu tuwe na huruma wajameni.
ReplyDeleteKula yao haiwezi kuwa sababu ya kuvunja sheria. Kama ni hivyo hata hao wenye vijishamba vyao kwenye vyanzo vya maji nao watadai wakale wapi. Hivi kwa nini wabongo hatuwezi kujifunza kwa wenzetu wzlioendelea? Madai ya hakuna wateja huko ni upuuzi mtupu. Nafikiri ni wakati sasa itungwe sheria muuzaji na mnunuzi washughulikiwe kwa kufanya biashara mahali pasipo
ReplyDelete