bei katika hoteli zetu za kitalii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hizo bei zinamaanisha kwamba wazawa hatupaswi kukanyanga huko.

    ReplyDelete
  2. Tukicompare na bei za vitu US, hizo ni bei hapo ni pocket change yaani mtu wa kawaida huku anaweza kuafford kula out kila siku. Kweli maisha mazuri nyumbani.

    ReplyDelete
  3. Sasa hiyo comparison gani? Unasema mtu wa kawaida huko US halafu unasema tena maisha mazuri nyumbani kivipi? Siyo kwa ababu mtu wa kawaida anaweza kumudu akiwa huko inafanya bei hizo ziwe poa. Hapa unaangalia mtu ambaye mshahara wake ni 60000 kwa mwezi.

    ReplyDelete
  4. wazawa hawawezi kukanyaga kutokana na sababu nyingi tu uchumi mbaya,serikali haitengenezi nafasi nyingi za kazi,ata vijana wetu hawataki kusoma wala kufanya kazi na kubakia kupenda starehe na ngono.unadhani utapata pesa ukibakia kijiweni na kukimbia school.wote tukiwa na elimu na viongozi wetu wakiwa na uwezo wa kuongoza nchi kwa dhati na kutunga au kutumia policy nzuri uchumi wetu utakua tu na wananchi kuona unafuu wa maisha.pia tuongeze wawekezaji wazawa na kutoka nje.

    we unadhani mkulima akiweza kupata soko la maana hawezi kujipatia maendeleo yeye na jamii yake? na kama kukiwa na wakulima milioni moja si ndio taifa nalo linafanikiwa kwa kodi? lakini huyo mkulima hajatafutiwa soko la maana la kumuezesha kuondokana na umasikini na nguvu zake zinabakia kuwa zero.

    Mikataba mingapi inawekwa kila siku ndani ya nchi na mafanikio wanapata wachache. Ni mabilioni mangapi ya pesa yanaibwa kila siku na viongozi wachache. Kuna safari ngapi za viongozi wa nchi zinagarimu mamilioni ya pesa ya mtanzania aliye masikini na hizo safari zinakuwa hazileti mafanikio yoyote.Kuna makampuni mangapi yanabinafsishwa kwa wageni wa nje badala ya wazawa ambao wanao uwezo wa kuyaongoza hii yote ni kutokana na 10% wanazo pewa.

    Maisha yatazidi kuwa magumu kama mtindo ukiwa ni ule ule tu.

    ReplyDelete
  5. Sasa hizo nazo bei?

    ReplyDelete
  6. ni bei kibongo bongo

    ReplyDelete
  7. Poleni tehetehe bongo hata kwa nyundo sirudi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...