mlio ughaibuni mpoooo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michuzi hili jengo limebadilishwa kidogo ee naomba ufumbuzi tafadhali

    limependeza sanaa.

    ReplyDelete
  2. Huu ni uthibitisho kwamba kuna watanzania wazawa wanaweza kufanya mambo makubwa.Mzee mfugale mmiliki wa Hotel hii anastahili sifa kubwa.

    ReplyDelete
  3. Kuna maji na vyoo vitakuwa visafi?

    ReplyDelete
  4. Haya sasa kwa wale walioko ughaibuni, vitu hivyo sasa.

    ReplyDelete
  5. Very colorful! It reminds me of
    Las Vegas Casinos. Nani anamiliki hii Hotel?

    ReplyDelete
  6. mimi namiliki hii kitu (mfugale &malecela& mungai)
    sis watu wan nyanda za juu huko, iringa/dodoma

    ReplyDelete
  7. wakina malecela, mungai, na mfugale wako wengi hebu tuambieni majina yao ya kwanza au ni bishara ya ukoo?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 30, 2006

    hili jengo ni private owned by MR joseph Mfugale mpeni heshima yake sio shared hilo jengo from msingi mpaka kioo nje ya jengo.

    ReplyDelete
  9. kwa kweli mambo yanafurahisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...