Home
Unlabelled
butiama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du MIchuzi hii picha kati zile chache sana kumpata Mwalimu!!! Huyu mjomba tutamkumbuka sana na Mungu amweke pema peponi na wengine wote mashujaa wa kweli wa Mwafrika Mkwawa, Chaka, Malkia Nzinga, Mansa Musa, Kwame, Biko na wengine wengi. Na iwe hivyo.
ReplyDeleteAli Pembe- Gomigo
Picha poa sana hii Michuzi. Mzee wetu na makubazi yake.
ReplyDeleteHizi ndio picha ambazo hunikumbusha Mzee wa Busara(sio mchawi lakini)
ReplyDeleteHizi ndio zile picha za nadra kabisa na ambazo ni kumbukumbu nzuri mno.Ahsante sana kwa picha hii Michuzi.
ReplyDeletekumbe huyu babu alikuwa na kakitambi kadogodogo, na makurubasi yake ya BORA
ReplyDeletesasa mambo si haya hapa ata watoto wakimuona wanamkumbuka mtu aliye waletea uhuru.safi sana bwana shemeji
ReplyDeleteMwalimu alikuwa na kakitambi ka kufungia mkanda tu. Si mnaona alivyotoka ki persona
ReplyDeletehuyu mzee ni wa kuheshimu sana kwa mengi aliyo fanya. hivi nilisikiaga ya kwamba serikali imewasahau familia yake mpaka kuna wakati hakuna msosi na lingine wafanyakazi wanaacha kazi kule kwa mwalimu sababu hawajalipwa mshiko wao siku nyingi hivi ni kweli?
ReplyDeleteJamani huyu ni nyerere au Bozi Boziana maana amekaa kama mnenguaji vile wa kizarwaaaaaaaaa Lokasa ya mbongo eeeeeeeeeeeeee.
ReplyDeletemama nzawisa eeeeema nzawisa nzawisa nzawisa salama alekum nyerere nzawisa
ReplyDeletemichuzi picha hii kiboko nakuheshimu bro
ReplyDeleteaisee sikuwahi kutegemea ona picha ya jkn kama hii mzeeee sikuwezi pozi la nguvu aisee umenifurahisha sana michuzi kwenye mambo mazuri shurti tukusifie bwana,nimeipenda picha hii
aisee siku hizi bongo tumeendelea hadi watu wenye akili finyu namna hii wanaweza kufungua ''issamichuzi.blgspot.com'' basi sasa tunahitaji kazi nyingine ambayo ni rahisi kuisema lakini ngumu kuifanikisha
ReplyDeletekumbadilisha huyu mtz mwenye akili finyu
kuwa na japo kaupeo kadogo kakuanzia.
samahani hapo juu ni ''issamichuzi.blogspot.com'' na si ''issamichuzi.blgspot.com'' mwisho wa kunukuu.
ReplyDeletenenda baba, nenda mwalimu kamsalimie kolimba.e bwana hilo song sio mchezo lilinitoa chozi mzee si unakumbuka hiyo siku?wale jamaa kweli waliimba si jui wanaitwaje wale? bwana shemeji kama unapicha zao twaomba utuwekee.
ReplyDeletehao jamaa wanaitwa parapanda theatre lab, ukiwa-google utawapata, na picha zao zimo humo kibao. aidha ukirudi kwenya alkaivu za septembar-november ipo picha yao ya mchezo wao mpya wa jukwaa uitwao 'samaki wa dhahabu'
ReplyDeleteMichuzi-
ReplyDeleteAsante sana kwa hii picha, ni zawadi nzuri kwetu wote. Thanks for sharing! Unajua kama isingekuwa huyu Mzee wetu sisi watoto wa wakulima tusingekwenda shule na tusingekuwa hapa tulipo. Mapenzi mengi kwa Tanzania, mungu amjalie na roho ya Mwalimu naamini iko pema! Michuzi, kwetu sisi hapa ughaibuni you are a source of joy!
HAWA NDIO WAZEE WALIOFAHAMU MAISHA NI KUPITA TU!KUJILIMBIKIZIA MALI DUNIANI HUWEZI KUPANGA GESTI YA NGUVU MBINGUNI.AKILI YOTE ALIYOKUWA NAYO,UWEZO CHEO NA MAMLAKA:BUSARA YA PEKEE ITOKAYO KWA MUNGU NDIO ILIYOMFANYA AISHI MAISHA HAYO YA KAWAIDA INGAWA BADO KUNA WATU KIBAO WANAMLAANI!
ReplyDeleteLAKINI KWA HUYU MZEE,NINA HAKIKA SASA HIVI YUPO AKIFURAHI NA MALAIKA.
Haya anony,we mchungaji au mzushi tu!
ReplyDelete