pauln ndunguru na mkewe siku ya harusi yao iliyoshamiri utamaduni wa kiafrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi mpe salamu sana na hongera nyingi mdogo wetu mpendwa msanii mzuri sana kama ilivyo familia yao yote. Mpe salamu sana. - Chama

    ReplyDelete
  2. jamaa kanuna huyo, sijui anataka kupata vitu!

    ReplyDelete
  3. kama na maharusi nao wangevaa kiutamaduni, harusi yao ingenoga zaidi

    ReplyDelete
  4. Ndunguru na bi harusi hongereni sana.

    ReplyDelete
  5. hata mimi nimeshangaa jinsi maharusi walivyovaa...tena mtu mwenyewe Ndunguru. Ukitazama picha ya chini ambayo Mrisho yuko anacheza ngoma na joho lake la kiafrika utadhani kuwa yeye ndio bwana harusi...sijui kwanini ndunguru hakuwasiliana na Afrika Sana au ndugu Manju.

    Aisee, michuzi, Manju yu wapi? Tupe picha yake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...