Home
Unlabelled
chandimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aisee hii tiktak inanikumbusha enzi za gazeti la sana mzee meko alipiga tiktak katika mechi ya bush stars na bon town.bush stars wakalalamika kuwa haiwezekani jamaa kapiga mpira mbele halafu umeenda nyuma......mkuu unakumbuka hiyo???????aisee hawa watoto tukiwasupport tunaweza kupata kina ronaldinho wa toka mwanyemi.................zemarcopolo!
ReplyDeleteMatusi yamemkimbiza Mwaipopo. Kwenye picha kama hii nilitazamia nikute comments za Mwaipopo au ameamua kuwa anony. Usihofu kaka comments zako zinahitajika
ReplyDeleteWengine tumepiga boli hapo. Watu tulikuwa tunajichanganya game za uswahilini kama hatuna akili nzuri, na hajatokea ronaldinho wala baba ake!
ReplyDeleteanonymous.....inasikitisha kuona kuwa masela mlijichanganya mchangani..ofcourse hata mimi pia nilijimix mechi za uswahilini.ila ukicheki fresh kwenye comment niliyotoa nimeandika iwapo "tukiwasupport".unajua kuwa gereji kibao zimejengwa sehemu ambazo zilikuwa planned ziwe sehemu wazi za michezo.sasa hii ni dalili kuwa michezo tumeisideline.....kwa style hii ronaldonho sijui tutamtoa wapi?...................zemarcopolo!
ReplyDeletezemarcopolo uko sahihi,mi nakumbuka kuna dogo moja Akilimali Yahya, tulianza kujichanganya nae mchangani,baadae akawa mchezaji bora wa umiseta kitaifa mwaka 2000, na sasa yuko simba, ukimuona live yule dogo anavyocheza, samuel etoo cha mtoto, kakosa mtu wa kum-expose tu kwenye timu kubwa za ulaya..ndo support anayosema zemarcopolo....emergencypoison
ReplyDeletelakini cha kusikitisha msenge mungai alifuta umiseta,jamaa huyu huwa anafikiria kwa kutumia miguu na kichwa ndó anatembelea, sijui kwa nini jk bado anampa uwaziri..
ReplyDeleteemergencypoison.
Kaka Michuzi unaweza ukatupa latest za kocha wa kutoka Brazil, kama anakuja kuinoa stars au la? Natanguliza shukrani zangu za dhati.
ReplyDeleteHehehehehe EMERGENCYPOISON na zemarcopolo, kwakweli watoto mnatoa comments nzuri sana!! Nawapenda sana vijana wangu. Ni mimi mkuu wenu Revd. MP
ReplyDeletesasa wewe ulitaka upewe nini? hata usipopewa kitu wewe mwenyewe ndo uwe na determination ya kufika mbali,according to your dream na sio usubiri zawadi. so walipoacha kukupa aiskrimu na we ndo ukacha kucheza?ndo maana soka yako ilikufa...epm
ReplyDeleteHiyo determination basi inge prove hata kwamchezaji mmoja tuu Ziki na Ball haviendi pamoja bwana .
ReplyDelete