wa kunitajia kiusahihi atokako dada huyu nchini tanzania nitambadikia picha yoyote aitakayo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. huyo ni mmasai

    ReplyDelete
  2. huyu ntu wa kwetu kabicha kama si wa lukuledi/nsinjaili!!! namaanishi lindi au ntwara

    ReplyDelete
  3. singida line hiyo

    ReplyDelete
  4. Huyu Mbongo, kajichubua kwa sana, miaka ya nyumaa alikuwa ameolewa na jamaa mmoja misheni town mmoja pale dar anaitwa David toka Tanga. Jina la huyu dada anaitea SINYOLITA...

    ReplyDelete
  5. michuzi mbona umeniweka hewani jamani, nimekukosea nini?

    ReplyDelete
  6. acheni yote jamani kwa huyu binti NIMEPENDA MENO YAKE.

    ReplyDelete
  7. Mie sitii neno kwani namfehemu vilivyo huyu. Au unabisha Michuzi.

    ReplyDelete
  8. Wajemeni ni wa kule kwetu Musoma.

    ReplyDelete
  9. truly beautifully african woman.

    ReplyDelete
  10. sio kweli huyu dada hajajichubua hiyo ni rangi yake

    ReplyDelete
  11. michuzi ulisema jmt ndio deadline kama sikosei unatupa mahala atokako dada huyu vipi sasa mimi nilisema dodoma nimepatia?

    ReplyDelete
  12. Huyu dada anaonekana ana roho nzuri sana! Kila nikimwangalia na mimi kama yeye najikuta natabasamu. Ninahisi anatokea Singida.

    ReplyDelete
  13. Nilisema Tanga

    ReplyDelete
  14. Hey Michuzi! Huyo anatoka Chanvulasole , Pwanii! Oyah Michuzi unajua picha yako kali ya muda wote ni ile Athumani China ana mzungusha Hamisi Gaga, nadhani miaka ya tisini mwanzoni(Yanga 3 simba 1). Yani kama utaniwekea picha ile basi nitakusifu.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 15, 2006

    WE DADA,MH!HIYO MIDOMO NA MENO VIMETULIA.VIWANGOOOOOOOOOOO!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 03, 2007

    Wewe huyosiyo Sinyorita, huyo dada hapo ni mzuri lakini Sinyorita ni mzuuri zaidi ya hapo. Na anayesema huyo dada kajichubua, hapana huyo dada ni rangi yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...