dada akitoa elimu kwa wanafunzi namna ya kuvaa soksi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. mbona sikuelewi ni soksi au condom tumia lugha sahihi.safi sana hapa unafundisha jamii kuhusu swala zima la ukimwi.hii ndio inatakiwa sababu jamii nzima inakutegemea wewe na kujifunza toka kwako kama mwandishi wa habari.

    ReplyDelete
  2. Kuna haja ya elimu hii sana.Lakini pia kuna ulazima wa kujifunza mbinu zingine za kupambana na ukimwi.Nikishajua kuvaa kondomu inatosha?Vipi kuhusu kumuandaa mwanamke ili uchi wake uwe tayari kupokea uume?Kama mwanamke ni mkavu huko chini,hata kondomu itapasuka tu.

    ReplyDelete
  3. (WARNING:PG 18YRS AND OVER)
    wee anon hapa juu ,ebu tueleze inakuwaje unafika mpaka chini bado kukavu? au wee kibaka mzoefu?
    hata wale wanawake wa kinyakyusa mpaka upige ngwara ndio upewe, tayari unakuta H2O inafurika.

    ReplyDelete
  4. Hili swali naomba michuzi unijubu bwana kama angaza vile.............

    Hivi nampa msichana anilambe sehemu za siri then ananilowesha mate sehemu zangu za siri harafu navaa kondom tunakula raha.....nipo salama kiasi gani?

    ReplyDelete
  5. Lets be realistic man, tuseme kuvalisha CONDOM....mammbo ya kufichaficha ndio maana tuko pabaya bwana michuzi.

    ReplyDelete
  6. Siku hizi wanatumia dildo kabisa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2006

    MICHUZI NI MTU MZIMA NA MWANDISHI MZOEFU LAZIMA ATUMIE "TAFSIDA"LAKINI SI UMEELEWA ANA MAANA GANI?HIYO NI LUGHA YA PICHA!TUNAJUA UNAITWAJE LAKINI TUNASEMA NI"UUME"HALIUMIZI MASIKIO ILA KAMA UNATUKANA UTASEMA "M### YAKO!"HIVYO TOFAUTI YA MATUMIZI HULETA TOFAUTI YA HISIA!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...